Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

Aaaah wajameni mwacheni mwenzenu afurahi
Aahh mimi simo, ila nafikir wanajaribu kuepusha asije rud miaka kadhaa mbele kufungua uzi kuwa kaua mkewe baada ya kugundua amasingiziwa mtoto
 
Nilitaka kulisema hili bahati nzuri umeniwahi☺️.
 
Nilitaka kulisema hili bahati nzuri umeniwahi☺️.
Kwann usiwahi Kwa mzee wako? Japo miaka ni mingi ila itafaa sana.

Ni Bora mwanangu anamfahamu baba ake ila wewe umelelewa na mama pekee mpaka Leo mama yako anakuzungusha kukuambia baba Ako ni nani.

Tunakusubiri mwezi may, pale clouds
 
Hongera sana
 
Allah akubariki katika ulichopewa, umshukuru aliyekupa, afike kuwa mkubwa na uruzukiwe wema wake.
 
Kwann usiwahi Kwa mzee wako? Japo miaka ni mingi ila itafaa sana.

Ni Bora mwanangu anamfahamu baba ake ila wewe umelelewa na mama pekee mpaka Leo mama yako anakuzungusha kukuambia baba Ako ni nani.

Tunakusubiri mwezi may, pale clouds
Punguza makasiriko mkuu,hili ni jukwaa huru kutoa maoni.
 
Hongera sana mkuu, ni raha iliyoje kuwa kid(s) tena ukiwapenda na wao wakakupenda, utafurahi sana.
 
Hongera sana, jiandae kufuga Mbwa
 
Hongera sana mkuu, ni raha iliyoje kuwa kid(s) tena ukiwapenda na wao wakakupenda, utafurahi sana.
Nikweli, Kuna swali lilikuwa linanifadhaisha saan vile ukikutana na mtu unamsalimia alafu anakuuliza watoto wanaendeleaje au unawatoto wangapi.

Saivi nitalitamani mkuu, maana Nina chakujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…