Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Aahh mimi simo, ila nafikir wanajaribu kuepusha asije rud miaka kadhaa mbele kufungua uzi kuwa kaua mkewe baada ya kugundua amasingiziwa mtotoAaaah wajameni mwacheni mwenzenu afurahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahh mimi simo, ila nafikir wanajaribu kuepusha asije rud miaka kadhaa mbele kufungua uzi kuwa kaua mkewe baada ya kugundua amasingiziwa mtotoAaaah wajameni mwacheni mwenzenu afurahi
Nilitaka kulisema hili bahati nzuri umeniwahi☺️.Nakushauri upime DNA ili kujihakikishia umiliki wa huyo mgeni mpya aliyewasili hapa duniani leo hii.
Kipimo Cha furaha uliyonayo leo hii itakuwa sawa sawa na kipimo Cha huzuni utakayopata wakati utakapokuja kugundua kwamba kumbe wewe ni baba mlezi tu wa huyo mgeni mpya aliyewasili.
Kwa leo sitaweza kukupongeza kwa ugeni wako huo hadi hapo baadaye nitakapopata majibu ya uhakika ya DNA Test kuhusu huyo mgeni wako.
Mkuu, DNA yanin unahisi? Mim naamin nilichokifanya mkuu.Mkuu ushauri wote uchukue ila masuala ya kupima DNA ya puuze kabisa utatengeneza tatizo kubwa la kudumu kati yako na mke wako, la kutoaminiana tena upendo utaondoka.
🙌🏾🙌🏾🙌🏾Aahh mimi simo, ila nafikir wanajaribu kuepusha asije rud miaka kadhaa mbele kufungua uzi kuwa kaua mkewe baada ya kugundua amasingiziwa mtoto
Kwann usiwahi Kwa mzee wako? Japo miaka ni mingi ila itafaa sana.Nilitaka kulisema hili bahati nzuri umeniwahi☺️.
Mkuu, kwani wew ni jinsia gani!? Tafadhali kama "ke" Nina chakukuhakikishia tafadhaliAahh mimi simo, ila nafikir wanajaribu kuepusha asije rud miaka kadhaa mbele kufungua uzi kuwa kaua mkewe baada ya kugundua amasingiziwa mtoto
Kiongozi, Hilo lilikukuta ww tu..Fumba macho na masikio tu. Fanya kama huoni wala kusikia chochote. Jiaminishe moyoni kitanda hakizai haramu. Mshukuru mkeo kwa hili. Hizi mbinu ni kijasusi tu
Hongera sana
Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema.
Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto.
Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya dunia kwakuwa na mtoto wakiume.
Haikuwa rahisi ila kwakuwa nilimwachia mungu, naamin Leo ameamua kunijibu.
Hakika subra ni dawa na ponyo tosha Kwa wanaadamu.
Baada ya miaka mingi ya majuto na machozi Kwa mke wangu hatimae Leo amemuona mwanae mwenyewe.
Nashukuru mungu nami alinipa subra na uvumilivu wakuamini kuwa ipo siku tutapata mtoto.
Asikuambie mtu ni mtihani mkubwa saana kuwa kwenye ndoa na ukakosa mtoto Kwa muda mrefu.
Mungu alinipa maneno ya kumfariji Kila nilipomuona mke wangu analia.
Hakika nilikuwa mnyonge saana, ila usiku wa Leo mwanangu amenipa nguvu kubwa saana.
Amefuta Kila aina ya huzuni na kufanya nisahau Kila uchungu niliowahi kuwa nao.
Mungu nitunzie mwanangu, nitafanya Kila niwezalo huyu mtoto aishi Kwa furaha.
Hata kama nikiondoka Leo katika dunia hii najua kuwa nimeacha mtoto.
Tafadhali, nakuomba mungu usinicheleweshee na ndugu zake.
Mungu wape subra na uwafanyie wepesi wale wote wanaopitia katika mtihani huu, hakika wewe ndo mjuzi wa Kila kitu. Kwako halicheleweshwi jambo isipokuwa pale utakapo.
Hakika wamesubiri basi wape shufaa nao waone kizazi Chao.
Ameeeen!

Punguza makasiriko mkuu,hili ni jukwaa huru kutoa maoni.Kwann usiwahi Kwa mzee wako? Japo miaka ni mingi ila itafaa sana.
Ni Bora mwanangu anamfahamu baba ake ila wewe umelelewa na mama pekee mpaka Leo mama yako anakuzungusha kukuambia baba Ako ni nani.
Tunakusubiri mwezi may, pale clouds
au je wao ni watoto wa baba zao?
Ukweli mchungu unaoponya daima huwa unachoma Sana rohoni.Ukisikia uchawi ndiyo huu sasa
Hongera sana mkuu, ni raha iliyoje kuwa kid(s) tena ukiwapenda na wao wakakupenda, utafurahi sana.
Kuna msemo wa kiarabu usemao "inna baada Sabri, bushraa" yaani hakika Kila baada ya subra ni habari njema.
Hakika ndo ninavoweza kusema baada ya kuishi na mke wangu Kwa zaidi ya miaka 7 bila mtoto.
Hatimae Leo tarehe 27.07.2024 naandika historia mpya na njema katika mgongo wa ardhi hii ya dunia kwakuwa na mtoto wakiume.
Haikuwa rahisi ila kwakuwa nilimwachia mungu, naamin Leo ameamua kunijibu.
Hakika subra ni dawa na ponyo tosha Kwa wanaadamu.
Baada ya miaka mingi ya majuto na machozi Kwa mke wangu hatimae Leo amemuona mwanae mwenyewe.
Nashukuru mungu nami alinipa subra na uvumilivu wakuamini kuwa ipo siku tutapata mtoto.
Asikuambie mtu ni mtihani mkubwa saana kuwa kwenye ndoa na ukakosa mtoto Kwa muda mrefu.
Mungu alinipa maneno ya kumfariji Kila nilipomuona mke wangu analia.
Hakika nilikuwa mnyonge saana, ila usiku wa Leo mwanangu amenipa nguvu kubwa saana.
Amefuta Kila aina ya huzuni na kufanya nisahau Kila uchungu niliowahi kuwa nao.
Mungu nitunzie mwanangu, nitafanya Kila niwezalo huyu mtoto aishi Kwa furaha.
Hata kama nikiondoka Leo katika dunia hii najua kuwa nimeacha mtoto.
Tafadhali, nakuomba mungu usinicheleweshee na ndugu zake.
Mungu wape subra na uwafanyie wepesi wale wote wanaopitia katika mtihani huu, hakika wewe ndo mjuzi wa Kila kitu. Kwako halicheleweshwi jambo isipokuwa pale utakapo.
Hakika wamesubiri basi wape shufaa nao waone kizazi Chao.
Ameeeen!
Hongera sana, jiandae kufuga Mbwa

Nikweli, Kuna swali lilikuwa linanifadhaisha saan vile ukikutana na mtu unamsalimia alafu anakuuliza watoto wanaendeleaje au unawatoto wangapi.Hongera sana mkuu, ni raha iliyoje kuwa kid(s) tena ukiwapenda na wao wakakupenda, utafurahi sana.
Nahayo pia nimaoni yangu mkuu.Punguza makasiriko mkuu,hili ni jukwaa huru kutoa maoni.
AmeeeenAllah akubariki katika ulichopewa, umshukuru aliyekupa, afike kuwa mkubwa na uruzukiwe wema wake.
Nitaeleza hili siku nyingine mkuu,Ungeeleza japo kwa ufupi ushuhuda wa namna ulivyohangaika na suluhisho lilivyopatikana...
Kuna kidume kimekaa pembeni kinaangalia tu unavyochekelea wakati chenyewe ndio kimesababisha yote hayoAamin
Ashukuriwe Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma