Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Ngoja niusome huu Uzi kuanzia mwanzo hadi mwisho.
 
Pole sana sana kwa msiba wa Mama Mungu akupiganie kwenye hiyo changamoto unayopitia.
 
Kuna dada mmoja alipost facebook kuwa amehamia nyuma yenye mauzauza akaomba msaada wa pesa ili aweze kuhama kwani ndio kwanza ana siku kadhaa tu. Halafu amepata taarufa kuwa mwenye nyumba ndio mambo yake hayo anataka tu ukimbie then ampangishie mwingine .
Lakini ghafla kwenye comments kuna account za wanaume ambazo zilikuwa zinzsisitiza kumchangia huyo mdada nikaona hapa tayri watu wanaenda kupigwa
 
Hata Mimi niliwahi kununua bidhaa kwa Mwana Jf maeneo ya Yombo Malawi ila nilimkuta mwanamke wake dukani .

Kwenye simu nilijitambulisha from Jf , na jamaa alitamani tuonane ila hakuwa around siku hiyo
 
The Icebreaker Mzee wa VAR tupatie picha mjongeo
Mimi nilikua najua mleta mada ni marehemu tayari toka kitambo.

VAR

 
Style yake ya uandishi na ulalamikaji sio ngeni hapa Jf , kama nishawahi kuiona kwa ID nyingine
 
Style yake ya uandishi na ulalamikaji sio ngeni hapa Jf , kama nishawahi kuiona kwa ID nyingine
Msaidieni mleta mada,hua ni mtu mwenye shukrani sana,aliwahi kuanzisha uzi wa kushukuru kwa kusaidiwa shilingi elfu 3 tu.

VAR

 
Duh ! makubwa haya , nafuatilia updates zako kwa umakini ..
 
Mambo kwa ushahidi,

JF VAR CHECK

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…