King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hilo nalijua nimejiandaa kisaikolojia,now naishi kama mstaafu,balima nafuga sitaki stress nazingatia lishe na mazoezi,pombe ,sigara situmii,miaka 10 ijayo watoto wangu wawili watakuwa na miaka zaidi ya 25Unazeeka mkuu. Huna maraisi wawili baada ya Samia tayari uzee utakuwa umewasili. Wakati unakimbia mno.
Mimi nina mvi nyingi sana ila nikiinyoa panki langu na kupaka superblack utasema nina 30s kumbe nilisoma na maulid kitenge darasa moja,nakula hadi vibinti vya 2000Kuna wengine mvi zinaanza kutokea mapema sana ,kuna wengine wanapenda kukunja sura wakiwa na umri mdogo so zile NDITA zinatengeneza UZee mapema.
Ukiwa fit uzee utaanza kuonekana kuanzia 65+
Nimeangalia movie ya Denzel ya mwanzo kabisa "Carbon Copy" ya mwaka 1981.
Very funny movie.
Kabisa mkuu, uzee unakuja hivi punde.Hilo nalijua nimejiandaa kisaikolojia,now naishi kama mstaafu,balima nafuga sitaki stress nazingatia lishe na mazoezi,pombe ,sigara situmii,miaka 10 ijayo watoto wangu wawili watakuwa na miaka zaidi ya 25
1981 nina miaka -9, yaani nadaiwa miaka 9 ndipo niweze kuja dunianiNimeangalia movie ya Denzel ya mwanzo kabisa "Carbon Copy" ya mwaka 1981.
Very funny movie.
Kama Stellone AKA RamboUkimuangalia Arnold Shwarzenneger au Ronie Coleman,ukawakumbuka ujana wao na yale manguvu yao,ndio utaamini kua Time ndio kila kitu,muda hua hausimami wala haumsubiri mtu,
Just enjoy life where you are now,Time slips like grains of sand never to return again.
hahaa, caught in 4k.Denzely anazeeka na utamu wake.
Picha yake basi..Mke wake ambaye ni mkubwa kiumri kumzidi miaka4, mshangazi Paulleta bado mbichi kabisa.
Nilisoma mahali kuwa huyu bwana sasa hivi ni mchungaji.Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala, zikaja Training Day, Dejavu, Man on fire, Inside job, American gangster, Great debetors, Malcom X, Manchurian candidate, Antwoine fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu
Juzi nimeona picha yake akiwa na miaka 70, amezeeka ni babu, uzee is real.
Mke wake ambaye ni mkubwa kiumri kumzidi miaka4, mshangazi Paulleta bado mbichi kabisa.
Wanawake wamarekani na Ulaya hawazeeki ovyo.
View attachment 3214316
Kweli,One thing I have learned about men is that they are very good at projection.... I wish women could understand this, men's opinions and validation won't matter any further.
Ernie ni legend.Wengine ni maradhi ndio huwafanya hivyo na wengine ni genetics......
Ernie ana miaka 79
View attachment 3216148View attachment 3216149
View attachment 3216147
We sema tu hujui kuandika Schwarzenegger,Uzuri ulielewa mengine mbwembwe tu
Hatari Mnoo Hacheki Na KimaNilikuwa natafuta hii comment
Mule jamaa kacheza halafu anamwendo flani hivi na coolness unajua kabisa humu ngumu jiwe
Very handsome man...Tuko wengi, actors na actresses pamoja na musicians and sports personalities ni wengi wamekua mpaka kuzeeka before our own eyes 👁️ 👁️.View attachment 3214405View attachment 3214406View attachment 3214407View attachment 3214408View attachment 3214409View attachment 3214410View attachment 3214411View attachment 3214412
Na mm niliitamaniPicha ya mshangazi Paulleta tafadhali
We sema tu hujui kuandika Schwarzenegger,
Hivi ukikubali hujui na ukanishukuru kwa kusema ahsante unapungukiwa nini?