GDP is overrated ni mfumo wa kibeberu kuficha umaskini tu.Mkuu ulinganishi wa Nigeria yenye population ya 213 milll na Tanzania 63 mill..automatically GDP yao itakuwa kubwa .mahitaji na uzalishaji wao ni mkubwa kwa hiyo pupolutaion...halafu mambo ya wazungu kutuletea GDP kama kipimo cha uchumi imepitwa na wakati maana haileflect maisha halisi ..
Zanzibar wanatushunda kufi.rana tuTuko Nyuma MNO [emoji3]
Hata Nchi ya Zanzibar wanatushinda ukichambua kwa makini
Ni WilayaZanzibar ni kama mkoa, sio nchi.
Yen na Ksh ni sawa kabisaAnzia hapa. Kwacha 1~183 tsh. Hivi utakua na maendeleo kwa hali hii.
Nasikia kwacha walipunguza sifuri tatu kwenye currency yaoThamani ya pesa isitoe taswira ya hali ya uchumi.
Hao nigeria wenyewe hela yao inazidiwa thamani na hiyo kwacha,haya pima uchumi sasa.
Huwezi pata Independent thinkers kama nchi imejaa machawaKwa Sasa Tanzania hatuna independent thinkers. Kila mtu anasubiria huruma ya Rais. Na pia kila mmoja anafanya Jambo kumfurahisha Rais.
Watu hawalielewi hilo, ndo maana huwa nawashangaa wanaolinganisha US na ChinaMkuu ulinganishi wa Nigeria yenye population ya 213 milll na Tanzania 63 mill..automatically GDP yao itakuwa kubwa .mahitaji na uzalishaji wao ni mkubwa kwa hiyo pupolutaion...halafu mambo ya wazungu kutuletea GDP kama kipimo cha uchumi imepitwa na wakati maana haileflect maisha halisi ..
Swali langu hapa litakuwa simple, kipi kinatangulia kuwa na gdp kubwa au per capita kubwa?Hii imenikumbusha baadhi ya colleagues wangu ambao ni Wahindi kutoka India kabisa na wengine ni wenye asili ya Kihindi lakini waliozaliwa nchi za magharibi.
Nigeria, Egypt, na Afrika Kusini, licha ya kuwa ndo nchi zenye uchumi mkubwa barani Afrika, lakini ikija kwenye GDP per capita, zimeachwa mbali na vinchi vidogo kama Seychelles, Equatorial Guinea, Gabon, na Mauritius!
Nyerere ndo sababu ya Tanzania ilivyo.Kila siku 'alaumiwe Nyerere kwa kuharibu uchumi na sera mbovu ya Ujamaa'. Haya nyinyi aliowaachia nchi mmefanya lipi la maana hadi sasa?
Ndo maana hata nchi zilizoendelea ninatunanga tuache kulia lia eti Ukoloni umetusababishia umasikini. Sasa mko huru na bado hamuendelei.
Nenda kwenye source yako kaangalie nigeria ina popolulation ya watu wangap na ukubwa gan ukilinganisha na TZ then urudi hapaKumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
How are you going to measure economic productivity of your workforce with pure GDP?Uchumi unabebwa na GDP ndio SI unit yake.
GDP has nothing to do with Population
Huyu jamaa unaweza kuweka meza A yenye sahani ya ugali wa kilo moja na watu 100 wanaogawana ugali huo, halafu sahani B yenye ugali wa robo kilo na mtu mmoja anakula peke yake, akaangalia ukubwa wa ugali wa meza A, akajiunga huko meza A awe mtu wa 101 kugawana ugali huo, kwa sababu ni ugali mkubwa zaidi tu.Nenda kwenye source yako kaangalie nigeria ina popolulation ya watu wangap na ukubwa gan ukilinganisha na TZ then urudi hapa
Tanzania pia tuna mafuta na gesi .Nigeria wana Mafuta sawa na Kuwaiti
Kama takwimu zako ni sahihi basi tupo vizuri sana kuliko Nigeria. Wao wapo watu zaidi ya million 220 sisi tupo million 62.Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Kwa serikali hizi za CCM, hakuna rangi tutaacha kuona.Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Vipi kuhusu population ya UK ambayo inakaribiana na TZ lakini wana uchumi mara 30 ya TZ, au uchumi wa South Africa mara nane ya Tanzania lakini wana population ndogo kuliko ya Tanzania, Jamani mnatakiwa kuwe na ufikiri sahihi.Mkuu ulinganishi wa Nigeria yenye population ya 213 milll na Tanzania 63 mill..automatically GDP yao itakuwa kubwa .mahitaji na uzalishaji wao ni mkubwa kwa hiyo pupolutaion...halafu mambo ya wazungu kutuletea GDP kama kipimo cha uchumi imepitwa na wakati maana haileflect maisha halisi ..
Mkuu seriously unalinganisha uchumi wa UK, nchi iliyotawala na kunyonya dunia nzima kwa mamia ya miaka, na Tanzania?Vipi kuhusu population ya UK ambayo inakaribiana na TZ lakini wana uchumi mara 30 ya TZ, au uchumi wa South Africa mara nane ya Tanzania lakini wana population ndogo kuliko ya Tanzania, Jamani mnatakiwa kuwe na ufikiri sahihi.
Tanzania GDP= 87 Bln USDSingapore GDP=466bln Usd
GDP per capita=127,564 Usd
Population = 5.9-6 mln
Data by WorldBank 2022
Si kuna mtu amesema ukiwa na population kubwa unakuwa na GDP kubwa? Vipi kuhusu Singapore, vipi kuhusu Luxembourg, vipi kuhusu South AFRICA, au Algeria, haya kuhusu Egypt au hawa nao waliwaibia. Talk about substance, siyo mnaongea pumba.Mkuu seriously unalinganisha uchumi wa UK, nchi iliyotawala na kunyonya dunia nzima kwa mamia ya miaka, na Tanzania?