1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Hata Kodi hua hawalipi inavyotakiwa mana wengi Wana viwanja Vya ndege wanatorosha rasilimali bila kujua idadi yake na thamani yake.Uko sahihi tuko tayari kuchukua kodi kubwa kwa wawekezaji kuliko kutunza na kuzitumia rasilimali zetu sisi wenyewe kwa ajili ya kujenga nchi yetu.
Madini na wanyama wengi wanakamatwa nje wakitokea Tanzania na hakuna hatua zinazochukuliwa Kwa Sababu wengi ni mawakala Wao.