Nimesikitika baada ya kuona Nigeria ina GDP karibu mara tano ya Tanzania

Nimesikitika baada ya kuona Nigeria ina GDP karibu mara tano ya Tanzania

Uko sahihi tuko tayari kuchukua kodi kubwa kwa wawekezaji kuliko kutunza na kuzitumia rasilimali zetu sisi wenyewe kwa ajili ya kujenga nchi yetu.
Hata Kodi hua hawalipi inavyotakiwa mana wengi Wana viwanja Vya ndege wanatorosha rasilimali bila kujua idadi yake na thamani yake.
Madini na wanyama wengi wanakamatwa nje wakitokea Tanzania na hakuna hatua zinazochukuliwa Kwa Sababu wengi ni mawakala Wao.
 
Rwanda hata hawatuzidi chochote kuanzia miji,vijiji,ng'ombe,mbuzi,kondoo,kuku,mayai,maziwa,misitu,mbuga,bahari,maziwa,mito,vijito,milima,vilima,watu,elimu,uchumi,siasa,utamaduni,utalii,mapato,fedha,michezo,raha,utawala bora,maendeleo,barabara,magari,meli,ndege,akili na ustaarabu.
Hivi utawala Bora Kwa wananchi tuaupima upi Kama tunaizidi Rwanda?
 
Singapore GDP=466bln Usd
GDP per capita=127,564 Usd
Population = 5.9-6 mln

Data by WorldBank 2022
Hapa wale wanaodai population kubwa ndio inafanya GDP iwe kubwa wataingia mitini.

Wale wanaosema unahitaji maliasili kuwa na GDP kubwa wapo mafichoni.

Tatizo ni akili tu, hiyo ndio rasilimali ya muhimu.
 
Denmark population yao hawafaiki hata milion lakin wametuzid GDP mbali mno....so idadi sio sababu

Hutak tulinganishe na GDP halafu ujasema tulinganishe na nini??
Denmark alimtawala Mwingereza hivyo kulinganisha Tanzania iliyowahi kutawaliwa na Mwingereza kwa Denmark superior ni kosa la jinai.
 
Hata Kodi hua hawalipi inavyotakiwa mana wengi Wana viwanja Vya ndege wanatorosha rasilimali bila kujua idadi yake na thamani yake.
Madini na wanyama wengi wanakamatwa nje wakitokea Tanzania na hakuna hatua zinazochukuliwa Kwa Sababu wengi ni mawakala Wao.
CCM ni tatizo na kama si tatizo bali walifanyie kazi hili jambo maana wao ndiyo wanaotawala nchi hii.
 
Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Tukijilinganisha na nchi nyingine za Africa angalau hatuko nyuma sana. Lakini nchi kama Naigeria yenye watu +200m, imezidiwa uzalishaji umeme mara 10 na nchi kama Hungary yenye watu +9m, TZ tumezidiwa zaidi ya mara 20 huku tuna watu mara 6 zaidi ya Hungary ambayo kwa ulaya inaonekan kanchi maskini.
 
Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Kamuulize waziri wetu wa uchumi msikie blabla utasikia aaaaaaaaaaa aaaaaah aaaa aaaaa mpaka mkutano unakwisha hamna point
 
Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
nigeria kwenye utajili wa rasilimali mafuta na gas huwezi linganisha na Tanzania sisi bado jamani..
Nigeria mafuta na gas inaipaisha sana..
 
nigeria kwenye utajili wa rasilimali mafuta na gas huwezi linganisha na Tanzania sisi bado jamani..
Nigeria mafuta na gas inaipaisha sana..
Kule mtwara sisi tuna nini? Bahamas ni marajiri kwa kutegemea fukwe zenye km 60 wakati sisi tuna zaidi ya km 500 za fukwe.
 
Back
Top Bottom