Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Ninyi mna dhahabu, almasi, Tanzanite, coal, na vivutio vingi vya utalii.Tatizo mmeviuza bei ndogo karibu na bure kwa wawekezaji.Nigeria wana Mafuta na Bati wewe Tanzania una nini zaidi ya kodi?
Nani kasema ukiwa na population kubwa unakuwa na GDP kubwa?Si kuna mtu amesema ukiwa na population kubwa unakuwa na GDP kubwa? Vipi kuhusu Singapore, vipi kuhusu Luxembourg, vipi kuhusu South AFRICA, au Algeria, haya kuhusu Egypt au hawa nao waliwaibia. Talk about substance, siyo mnaongea pumba.
Baba wa Taifa ameondoka duniani karibu miaka 20 imepita. Ni upuuzi kuendelea kumlaumu,,wanapaswa kulaumiwa walokuja baada yake kwa madudu wanayoendelea kufanyaKinachokusikitisha ni nini? 60% ya Uchumi wao unategemea Mafuta na hao ndio Wanaongoza Kwa mafuta Afrika unategemea nini?
Unadhani wangekuwa wanategemea mahindi na migomba na Madini ya kubahatisha bahatisha Kwa idadi Ile ya watu wangekuaje?
Mwisho mlaumuni Baba yenu wa Taifa Kwa ujamaa wake wa miaka 25 ambao hakuna Cha maana ulisaidia as far as economy is concerned.
Amekaa miaka 25 madarakani.Unadhani athari zake kwenye fikra ni ndogo? Bado kizazi chake wapoBaba wa Taifa ameondoka duniani karibu miaka 20 imepita. Ni upuuzi kuendelea kumlaumu,,wanapaswa kulaumiwa walokuja baada yake kwa madudu wanayoendelea kufanya
Nasikia kwacha walipunguza sifuri tatu kwenye currency yao
Swali langu hapa litakuwa simple, kipi kinatangulia kuwa na gdp kubwa au per capita kubwa?
Mimi nadhani shughuli yoyote kubwa katika nchi inayofanya kuwepo kwa gdp kubwa automatically kutapelekea ukuaji wa per capita.
Kwa case ya Nigeria na Tanzania, still per capita ya Nigeria ipo juu ya Tanzania katika ratio ya 1.9:1.3
Unaukichaa mwingiTuko Nyuma MNO 😀
Hata Nchi ya Zanzibar wanatushinda ukichambua kwa makini
Amekaa miaka 25 madarakani.Unadhani athari zake kwenye fikra ni ndogo? Bado kizazi chake wapo
Madini ulianza kuchimba lini na ulitoa ajira ngapi kwa Watanzania badala ya kubinafsisha kwa Wazungu?Nina gesi, nina madini, nina mlima Kilimanjaro, nna mbuga kibao maarufu duniani, nna bahari na maziwa kadhaa, nna kila nnachohitaji ili niitwe tajiri lakini ajabu mimi ni masikini!
Serikali ilichukulia lini kipaumbele cha taifa madini kuwa uti wa mgongo wa Mtanzania?Dhahabu, almasi, tanzanite, uranium, aluminium (bati), lead (risasi), chuma, gesi, ulanga(vioo), Cobalt, nickel n.k. Je, hizo zote si raslimali? Au unataka tuwe na nn?
Kwa akili yako wewe, hiyo ina maana gn kwa nchi?Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Rwanda hata hawatuzidi chochote kuanzia miji,vijiji,ng'ombe,mbuzi,kondoo,kuku,mayai,maziwa,misitu,mbuga,bahari,maziwa,mito,vijito,milima,vilima,watu,elimu,uchumi,siasa,utamaduni,utalii,mapato,fedha,michezo,raha,utawala bora,maendeleo,barabara,magari,meli,ndege,akili na ustaarabu.Kama ni hivi, Rwanda wanatuzid wapi
Jaribu kuwa unajitahidi kufikiri kwa umakini kabla hujachangia chochote.Hauko sahihi. High population sio kigezo cha GDP, bali ni uimara wa uchumi wa nchi.
Kwanini Qatar inaizi GDP Tanzania? Je, nao wana population kubwa kuliko Tanzania?
Uko sahihi tuko tayari kuchukua kodi kubwa kwa wawekezaji kuliko kutunza na kuzitumia rasilimali zetu sisi wenyewe kwa ajili ya kujenga nchi yetu.Ninyi mna dhahabu, almasi, Tanzanite, coal, na vivutio bingo vya utalii.Tatizo mmeviuza bei ndogo karibu na bure kwa wawekezaji.
Denmark population yao hawafaiki hata milion lakin wametuzid GDP mbali mno....so idadi sio sababuMkuu ulinganishi wa Nigeria yenye population ya 213 milll na Tanzania 63 mill..automatically GDP yao itakuwa kubwa .mahitaji na uzalishaji wao ni mkubwa kwa hiyo pupolutaion...halafu mambo ya wazungu kutuletea GDP kama kipimo cha uchumi imepitwa na wakati maana haileflect maisha halisi ..
Watu tanajazwa ujinga na viongozi wanaoliibia taifa Kwa kumlaumu Nyerere.Huu ni mwendelezo wa ile tabia ya kugeuza godoro baada ya kulikojolea badala ya kulitoa nje.
Nyerere ameshafariki,bibi yenu anauza kila anachoona kinauzika.mnaendelea kumlaumu nyerere!!
Si ni mkapa aliyeanzisha ubinafsishaji,miaka 20 leo tuliishaamua kushika njia zetu(sio za nyerere).bado taifa liko ugokoni.