1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Hata Kodi hua hawalipi inavyotakiwa mana wengi Wana viwanja Vya ndege wanatorosha rasilimali bila kujua idadi yake na thamani yake.Uko sahihi tuko tayari kuchukua kodi kubwa kwa wawekezaji kuliko kutunza na kuzitumia rasilimali zetu sisi wenyewe kwa ajili ya kujenga nchi yetu.
Hivi utawala Bora Kwa wananchi tuaupima upi Kama tunaizidi Rwanda?Rwanda hata hawatuzidi chochote kuanzia miji,vijiji,ng'ombe,mbuzi,kondoo,kuku,mayai,maziwa,misitu,mbuga,bahari,maziwa,mito,vijito,milima,vilima,watu,elimu,uchumi,siasa,utamaduni,utalii,mapato,fedha,michezo,raha,utawala bora,maendeleo,barabara,magari,meli,ndege,akili na ustaarabu.
Population yao ni karibu mara tano piaKumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Na sisi tuna gesi sawa na QatarNigeria wana Mafuta sawa na Kuwaiti
Hapa wale wanaodai population kubwa ndio inafanya GDP iwe kubwa wataingia mitini.Singapore GDP=466bln Usd
GDP per capita=127,564 Usd
Population = 5.9-6 mln
Data by WorldBank 2022
Denmark alimtawala Mwingereza hivyo kulinganisha Tanzania iliyowahi kutawaliwa na Mwingereza kwa Denmark superior ni kosa la jinai.Denmark population yao hawafaiki hata milion lakin wametuzid GDP mbali mno....so idadi sio sababu
Hutak tulinganishe na GDP halafu ujasema tulinganishe na nini??
Gesi ya wapi,ya Mtwara au Rostam Azizi?Na sisi tuna gesi sawa na Qatar
CCM ni tatizo na kama si tatizo bali walifanyie kazi hili jambo maana wao ndiyo wanaotawala nchi hii.Hata Kodi hua hawalipi inavyotakiwa mana wengi Wana viwanja Vya ndege wanatorosha rasilimali bila kujua idadi yake na thamani yake.
Madini na wanyama wengi wanakamatwa nje wakitokea Tanzania na hakuna hatua zinazochukuliwa Kwa Sababu wengi ni mawakala Wao.
Rwanda hawana lolote ndugu yangu.Ulishawahi sikia Waethiopia wanaenda Rwanda kutafuta maisha?Hivi utawala Bora Kwa wananchi tuaupima upi Kama tunaizidi Rwanda?
Kama mliamua kugawa hiyo ni juu yenu, kikubwa kuna gesi ndani ya mipaka ya Tanzania kama kulivyo na mafuta ndani ya mipaka ya NigeriaGesi ya wapi,ya Mtwara au Rostam Azizi?
Waulize ccmKama mliamua kugawa hiyo ni juu yenu, kikubwa kuna gesi ndani ya mipaka ya Tanzania kama kulivyo na mafuta ndani ya mipaka ya Nigeria
Acha Chuki isiyo na Manufaa kwakoZanzibar ni kama mkoa, sio nchi.
Tukijilinganisha na nchi nyingine za Africa angalau hatuko nyuma sana. Lakini nchi kama Naigeria yenye watu +200m, imezidiwa uzalishaji umeme mara 10 na nchi kama Hungary yenye watu +9m, TZ tumezidiwa zaidi ya mara 20 huku tuna watu mara 6 zaidi ya Hungary ambayo kwa ulaya inaonekan kanchi maskini.Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Kama mmewaacha watu wauze nchi yenu hiyo ni juu yenu, mlitaka nani akaandamane kwa niaba yenu..Waulize ccm
Humu gap la uelewa linaendelea kuongezeka kadri anavyojisajili member mpya.Mkuu seriously unalinganisha uchumi wa UK, nchi iliyotawala na kunyonya dunia nzima kwa mamia ya miaka, na Tanzania?
Kamuulize waziri wetu wa uchumi msikie blabla utasikia aaaaaaaaaaa aaaaaah aaaa aaaaa mpaka mkutano unakwisha hamna pointKumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
nigeria kwenye utajili wa rasilimali mafuta na gas huwezi linganisha na Tanzania sisi bado jamani..Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Kule mtwara sisi tuna nini? Bahamas ni marajiri kwa kutegemea fukwe zenye km 60 wakati sisi tuna zaidi ya km 500 za fukwe.nigeria kwenye utajili wa rasilimali mafuta na gas huwezi linganisha na Tanzania sisi bado jamani..
Nigeria mafuta na gas inaipaisha sana..