Nimetapeliwa nauli na mrembo niliyekutana naye mtandaoni

Nitumie namba yake nimpigie mimi tuone kama atapokea ama lah
 
Aah nauli ya moro ndogo kbsa[emoji1787][emoji1787]...wala huna haja ya kuumia..ni swa tu ukae na washkaji uwape ofa ya bia maana haizi 20k
Nataka nitafute chimbo, nipige zangu wine nijitafakari upya
 
ukweli ninkwamba mimi hapa dar es salaam bint yeyote akitaka kuja geto akisema hana nauli narequest bolt tuu huwezi basii... acha pesa kangu nikanyweee supuu... ya kuku
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebwana filter zinaharibu kinyama juzi kuna jamaa yangu kaniomba nimaindikize akakutane na demu waliojuama mtandaonii akanionyeshaa tukaenda tulichokutana nacho sikuaminii mwamba aliishiwa pozii
Hiiii imenikuta leo, pisi tumeelewana vizuri, kuja, mamaaaa yaan haiendani na viwango nilivyokusudia nimepiga kwa kujilazimisha kimoja nikasingizia kuna mgeni anakujaaa ikasepa ilaa kuanzia leo siendi mtandaoni kutafuta demu never
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataka kufahamu kama ni yeye maana hata mimi nimekula nauli leo [emoji23][emoji23]
Na anavyoongea kama vile ananiongelea mimi vile
Kama jina lako linaanzia na R unatokea Kihonda-Moro; utakuwa umefanya vizuri kurudisha nauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…