Nimetapeliwa nauli na mrembo niliyekutana naye mtandaoni

Hapo hakuna cha kufanya maana nauli imeliwa. Kwani ulimtumia shilingi ngapi?
 
haiwezekani aseee!!! ngoja niisafishe nyota kwa kula nauli najiona kuna kitu sijatimiza kwenye haya maisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kula nauli naona kama ni utoto fulani hivi; kwa sisi ambao tuko 40+ nadhani ni busara kuwa muwazi tu, kwa sababu hakuna kipya.
 
Lol pole sana aseee naimagine ulivokua umejipanga mwenyewe hahahaaa..si ya kucheka haya πŸ₯±!
Nilikuwa sijajipanga sana, ilikuwa wkend ijayo ndio nimfuate, ila yeye ali-propose aje leo
 
Msanii tu huyo trust me! Ona umetuma ametoa excuse... ishaliwa hiyoo..hio next week ulotaka wewe aje atakupanga tena umtumie!!!!
Nilishajifunza sitarudia huo ujinga; nadhani pia umri kwake ni tatizo,ndio maana anafanya utoto.
 
Yaani umeshindwa kabisa kurudisha muamala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…