Nimevumilia Usaliti wa Mke wangu kwa Miaka, Simu yake imenifungua Macho

Hapo mkuu upo sahihi kabisa level ya umalaya kwa wanawake wa kijita ni waikizu.Wakurya ndio wife materials tofauti na hapo kwa mara Bado sana.Siyo sehemu salama ya kwenda kuoa
 
Kuwa mwerevu kama nyoka
 
Kitu kingine nilichokigundua,japo mtoa mada hujasema inaonekana Kuna gape kubwa sana la umri kati yako na huyo mkeo, kama ni ndivyo basi hilo nalo ni tatizo kubwa. Wewe unawaza maisha mwenzio bado minyege kibao na kwa umri wako huwezi kumkuna kisawa sawa...!! Na wanawake wa kijita wanapenda kukunwa haswa! In short ukioa mwanamke wa kijita ni kama umeoa machine ya kusuguana.
 
Kwa wajita uliyatimba Wajita ni Malaya, mimi ni wa huko ila Mzee wetu alituambia tusije kuoa wanawake wa Musoma, Mjita na Mkwaya alisisitiza sana


Kuna jamaa angu baada ya kugundua umalaya wa mkewe na watoto bado walikua wanahitaji malezi ya Mama, alichamua alitafuta chumba binafsi mbali kidogo na maeneo anayoishi akanunu kitanda na godoro akitoka kwenye mihangaiko muda mwingi akawa anaenda kupumzika huko

Alikubaliana na hali kua mkewe ni malaya akaacha hata kumfatilia na kumchuguza Kwenye ndoa jamaa aka move on matumizi anatoa kama kawaida, mwisho wa siku mwanamke alianza kumtatilia mwaume kwa mabadiriki aliyoyaonyesha mwanamke akaomba suruhu
 
Ni kweli kabisa lakini Kuna shida mahali bro.
Kama mume anatimiza wajibu wake wote Kila sekta sidhani kama linaweza kutokea hili.
Tusikimbilie kuhukumu.
Hivi kwa nini wanawake walio wengi wakifanya mambo ya hovyo,wanayahalalisha kwa kuwasingizia wanaume kutotimiza majuku yao-huu ni ujinga na ujuha.
Huwezi kufanya maovu na kusingizia ulifanya kutokana na A au B.
 
Hivi kwa nini wanawake walio wengi wakifanya mambo ya hovyo,wanayahalalisha kwa kuwasingizia wanaume kutotimiza majuku yao-huu ni ujinga na ujuha.
Huwezi kufanya maovu na kusingizia ulifanya kutokana na A au B.
Mwanamke kama mwanaume wake akicheat naye atataka kucheat. Cha kushangaza mwanaume wake akinunua gari yeye hawezi pia kununua gari, ila kwenye kucheat tu😂😂😂
 
Hivi kwa nini wanawake walio wengi wakifanya mambo ya hovyo,wanayahalalisha kwa kuwasingizia wanaume kutotimiza majuku yao-huu ni ujinga na ujuha.
Huwezi kufanya maovu na kusingizia ulifanya kutokana na A au B.
Mwanamke na responsibilities ni mbalimbali. Kila issue inayomkuta Mwanamke lazima atasema imesababishwa na mwanaume. Kitu pekee ambacho mwanaume halahumiwi ni period zao tu.🤣🤣
 
Hamna lolote ulilotofatisha, mwanamke akishavua chupi na kuishika na kuiingiza hakuna ufala wala ujanja mkuu
 
Mwanamke wa Kijita hushirikiana na mama yake kutafutiwa wanaume na ni wachache sana wasiofanya hivi.
Siyo mwanamke wa kijita,hii ipo kwa wanawake wote (Tanzania) ,mtoto wa kike na mama yake huwa wanahadithiana mambo mbalimbali na kufichiana siri za mambo mbalimbali!!!!!
 
Mkuu pole sana.
Wajita wana matatizo, na wanawake ndo zaidi.
Achana naye.
 
Hivi kwa nini wanawake walio wengi wakifanya mambo ya hovyo,wanayahalalisha kwa kuwasingizia wanaume kutotimiza majuku yao-huu ni ujinga na ujuha.
Huwezi kufanya maovu na kusingizia ulifanya kutokana na A au B.
Kwasababu mwanamke mara nyingi hucheat kwasababu, na sababu kuu huwa mume.

Ila hata wanaume wengi husingizia wake zao mbona!!
 
Binafsi ni mtu wa makamo, almost 54 years and above
Samahani mtoa mada, kupitia maandishi plus hali unayopitia kwa sasa plus umri wako kuna ukakasi kidogo kuhusu hii hoja yako.

Hapa nazungumzia makuzi yako, kwa umri wako utakuwa ulipita mazingira halisi ya kiume ikiwemo kwenda jandoni.Moja ya sifa ya mtu aliyepita huko ni kuwa na kifua plus kufanya maamuzi plus kujisimamia n.k

Kwenye kufanya maamuzi yoyote yale, unatakiwa uchague best option kutokana kwenye machaguo mbalimbali (Hapa ni utulivu, hekima plus busara na siyo papara, jazba,pupa,munkari plus hasira)

Kwa umri wako, nilitegemea hivi vitu vionekane hata kidogo kwenye maandishi yako. Bandiko limejaa hisia zaidi.
ni mwenyeji wa kusini
Tabia za kifuska za mke wangu:
Kama umefanikiwa kutembelea mikoa ya kusini, kuna mkoa huo unaambiwa kabisa wanaume wa huko wanasifika kwa.............................. Je, tunaweza kusema kuwa wanaume wa huko plus dada zao hawafai kuoa wala kuolewa??

Jibu: Ni uongo.

Ushauri:
  • Usioe mwanamke anayetoka familia ambayo mama ndiye msemaji mkuu.
  • Wajita siyo wife materials kabisa, try for your own risk.
  • Mwanamke wa Kijita hushirikiana na mama yake kutafutiwa wanaume na ni wachache sana wasiofanya hivi.
Hapa ndiyo nikapata wasiwasi kuhusu umri wako, coz kwa umri wako utakuwa unafahamu kabisa kuwa hapa Tanzania bado kuna jamii ambazo mwanamke anakuwa na sauti, miongoni mwa hizo jamii zipo mikoa ya Kusini.

Tuache tamaduni,mila na desturi, mfano baba wa mtoto amefariki, lile jukumu la kimalezi akalibeba mama mwanzo mpaka mwisho.

Unahisi, likitokea la kutokea huyu mtoto, mshauri wake wa kwanza atakuwa nani?? Hapa sasa linakuja suala la malezi, je huyu mtoto alilelewa kwenye misingi ipi.

Huwa naamini malezi yakiwa mabaya kutoka pande zote mbili yaani familia plus jamii inayomzunguka mtoto awe wa kiume au wa kike huja kumuathiri mtoto kwenye utu uzima wake.

Nb: 1)Watu wa rika lako huko unapoishi hawapo??

2) Ni mtazamo wangu coz kuelekea 7/7 zitakuja propaganda nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…