Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

Status
Not open for further replies.
Unaonekana jeuri na mjuaji,rudia tena et wanao wanajuaje? Eti una uhakika wa kula na kunywa ad kufa,bro wewe ni mwanaume au mvulana? .Tuliona wengi waliokua na uwezo wa kuenda kulala dubai na kurudi kazini dar asubuhi ,saivj wakowapi? .kama hujipendi ,dhubutu kuvuruga familia ya huyo buana uone kitakacho kukuta.
 

Kustaafu huku umevurugana na wanao hata hicho chakula hakitokaa kikusaidie, na kwa namna unaongea ni wazi utakua wanao umewalea kidikteta, muhimu ukaanza kutengeneza nao.
Upande wa pili huko ulipoharbu na unataka kuharibu zaidi ndiko nasema inapaswa uwahiwe mapema na kuuawa.
 
Wee kazi yako kushauri na mwenye kupokea ushauri ni mimi sawa boss, kuwa mpole hili ni jukwaa usijepata stress bure. Twende taratibu kwanza baadae utaelewa
 
Sasa unapoomba ushauri kwa kuelezea historia nzima unategemea nini toka kwa huyo dada maana hii ni platfom kila mtu anaweza akaingia na kusoma, huoni kuwa huyo dada anawezapitia humu na kusoma na kujua ujuha wako?
 
Kabla ya kuwaza watoto, waza kutengeneza na Mungu. Maana hili hulipi kipaumbele cha kwanza katika ujumbe wako. Kumbuka siri ya wawili sio siri.
 
Hapo ulipoandika "akifika kwa mume anajifanya Yuko period na anavaa Pedi Kisha baadae anamtegeshea anagonga kumwambia amepata ujauzito" ndio imefanya Uzi wako wote uinekane wa kijinga.

Una miaka 40+ ila akili yako haina tofauti na kijana wa miaka 20.
 
Kwahiyo alipo kuomba mkutane tena hotel ulijua mnaenda kufanya nini? Au ulijua mnaenda kucheza karata? Kama ni Mkristo kweli unaweza kukutana na mtu ambaye ni ex sehemu ya faragha na mkatoka salama? Usimlaumu huyo mwenzio jilaumu kwanza wewe, pia ungegoma kukutana naye na kuona usumbufu nawewe ungebadilisha line au kublock kabisa, hayo mengine watakushauri wenzio waliopitia humo{wachepukaji}
 
Halafu mume wa huyo mwanamke,aje ajue kua watoto wote siyo wake,na kuna jamaa aliyemzalisha hajutii kufanya hivyo,mwisho wa siku aue,watu waanze kulaumu kua KWANINI ASINGEMUACHA TU?
 
Mwanaume mwenye familia hasie tumia kondomu kwa mchepuko ni kiazi sana. Ni mtazamo tu lakini msijenge chuki.
ukitumia condom hautokuwa umezini au?
Povu la nini unachofanya unajua ni cha kishetani na unatangaza hadharani kuona ni fahari,
Kuwa mpole kwanza hili jukwaa la wazi,
Sasa unapoomba ushauri kwa kuelezea historia nzima unategemea nini toka kwa huyo dada maana hii ni platfom kila mtu anaweza akaingia na kusoma, huoni kuwa huyo dada anawezapitia humu na kusoma na kujua ujuha wako?
jipe muda kutafakari huenda ukajifunza kitu mimi naweza kuleta jambo liwe la kweli au si kweli, baya au zuri jaribu kufanya tafakuri, huenda kuwa nimeandika kisa ambacho nimekisoma mahali au kukisikia au nimefanya. Acheni utakatifu wa mitandaoni. Kuwa mtu wa kujifunza zaidi. Asante
 
Watu kama nyie mkidakwa yapaswa mfanyiwe tukio litakalopelekea dunia muione sio sehem sahihi ya kuwepo
 
Duh kumbe hii dunia imejaza matakataka namna hii? Unaona fahari gani sasa? Vipi na wewe my wife wako akamwambia kwamba hao watoto wote siyo wa kwako bali ni wa fundi Maiko? Utajisikiaje? What goes around comes around! Subiri kipigo utajuta!!
 
Basi hii mada wewe itakuwa haikuhusu, nadhani na wewe kwa kuwa leo jmpl ulipaswa kuwa kanisani huku tuachie sisi
 
Mbona hilo la kawaida sana. Mimi katika wilaya mojawapo huko Mwanza nategemea kupata mtoto kutoka kwa mke wa mtu kabla mwaka huu haujaisha.
 
Pole sana mkuu, kuishi na 'guilty' ni mbaya sana...mimi najiuliza umejuaje hao watoto wote ni wa kwako?? na sio wa mumewe??? kutoshika kwake Mimba before hajakutana na wewe sio sababu ya kukuaminisha wewe ndio baba wa watoto hao......au wamefanana na wewe sana? 🤣 🤣 😳, binafsi sidhani kama ni wise kutibua mambo sasa hivi, afterall umekaa kimya miaka yote hii, you can still keep quiet,mpe nafasi huyo mwanamke a focus kwenye ndoa yake...

Maybe umpe majina yako yote huyo mwanamke, kisha kama watoto baadae watataka kumjua baba yao halisi siku moja, siku hizi mambo yako simplified, unaenda tu RITA wanakupata..lol....seriously though, ukitibua mambo sasa hivi, ndoa ya huyo dada ikafa, au huyo baba akafa kwa pressure...yaani utafeel 'Guilty' even more... the best option ni ku keep quiet...afterall hujui hata kwenye hio ndoa yako hao watoto wako labda sio wako na wewe....Sikuhukumu sababu kila mtu ana makando yake ila be careful tumia mpira..Peace..
 
Lawama ni lazima, huku wana ndoa zao wanaogopa kupata watoto siyo wao

Huyo mwanamke mwenzetu tunamwacha kwa kummezea tu maana yeye ndiye Eva aliyekushawishi.

Mwambie akupe kadi za watoto walau apige picha akutumie mnaweza mkawa mpo wa baba watoto hata kumi yeye anaongeza mtaji tu huku wewe unaambulia majibu tata humu.
 
Nimeipenda sana hii mkuu...au afanye vile vipimo hospitalini, vya kujua nani baba wa mtoto.. (DNA).
 
Ahsante,Kuna kitu nimejifunza hapa! Halafu pia nashukuru Wife yeye ana ujauzito ila ana mtoto mmoja.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…