Inabidi hii biashara usali sana sana...Ila STONE katibua kinoma, hali haikuwa hivi[emoji848]Yaani watu walivyowasumbufu kwenye kulipa,sijui wakopeshaji wanatumia mbinu gani kupata faida..mikopo ya kukatwa juu kwa juu ndo atleast aisee
Ntakutafuta tuunge mtaji twin
Duuuh...nawe umenitosa wangu[emoji22]Twin hapana[emoji3]acha haka kafaida nikale mwenyewe
Duuuh...nawe umenitosa wangu[emoji22]
Aseee[emoji848][emoji848]Twin biashara ya kushare hapana[emoji3]kugombana nje nje, hela shetani
Hapo kwenye kulipa sasanakazia,
akopeshe tu M10 kila mwezi ana uhakika wa faida ya milioni 2
Yanakua ni kifusi kikubwa sana mfano wa hata nyumba,wanakua wanayauza unacho Fanya unachukua sample kwenye rundo linalo uzwa unaenda kulipima kwa mkemia mkuu kujua lime contains kiwango gani cha madini,majibu yanayo toka yanaonyesha kiwango cha copper,silver na gold kilichopo ndani ya rudio,na majibu unaweza kadiria utapata gold kiasi gani,unanunua marudio unayasomba na maroli unapeleka illusion (plant) yanaenda kuozeshwa na carbon (electrolysis process) extraction of goldNaomba uielezee hii mkuu
Fuatilia posts zangu nimeweka muongozoFafanua hii mkuu
Ungekopi na kupaste hapa ni rahisi zaidi chief kuliko kuanza kusaka mkuu.Fuatilia posts zangu nimeweka muongozo
Hapo kwenye kulipa sasa
Haaa na jamaa yangu alikua mojawapo ya walio piga hiyo kazi walio faidi ni wakubwa tu ovaAnzisha kampuni ya kujenga makaburi, utatengeneza pesa hadi uchanganyikiwe, hutaamini macho yako; yaani watu kwenye kujengea makaburi huwa hawataki hata kubargain bei, Ukimwambia kaburi milion 6 anakwambia nipe account namba. Mfano waliojenga kaburi la JPM, wale washakuwa matajiri tayari, kwa ile kazi moja tu. Nenda Instagram uone watu wanavyopiga mpunga kimasikhara
kwahyo unamjua atakae lipa na asie lipa kwa kumuangalia usoni??
Manchester vs Liverpool AlhamisNina milioni 25, naweza wekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?
Wadau mawazo yenu Tafadhali.
Mchango wa mdau
Pia soma: Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?
Chalinze miono,ukiitaji nichekiMashamba wapi huko??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndugu yangu aliuza nyumba ya urithi Mikocheni, akaenda kununua nyumba Sinza, akafungua studio ya kurekodi muziki, Hadi leo sijawahi kusikia redioni wimbo kutoka studio yake, sijui zinapigwa kwenye space station anga za mbali?!?!¿‽‽[emoji848][emoji848][emoji848]
Huu ushauri ni wakukaanao mbali Sana kama mtoa mada anajipenda😂😂😂Manchester vs Liverpool Alhamis
MAN U Ana 2.points...kamuwekee yote hiyo asubuhi unaamka na mil 50[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji123]
Ya kumwagilia?chalinze miono,ukiitaji nicheki
Ndio 0693786080Ya kumwagilia???
Naona watu wengi mnamshauri hivi..yan ukitaka kufanya biashara ya kukopesha unatakiwa uwe Mchawi au Mcha Mungu sana la sivyo wakopeshaji watakusahaulisha madeni yao.Fanya biashara bubu ya kukopesha Ila wateja wawe waaminifu .