Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

Mchengerwa ni waziri bora kabisa, Mama Samia, watanzania wanakulilia, mrudishe Utumishi, huyu ni kiongozi kweli kweli, na ni mkweli kabisa..

Mchengerwa, sijui kama Watumishi wa Umma watampata Waziri bora kama Mchengerwa..

Mama Samia, sikia kilio cha watu wako.
 
Utendaji wa mtu haudanganyi mbele za umma. Hao ujue wamezitendea haki nafasi zao kwa haki, bila upendeleo. Ujue wapo mawaziri umma unatamani waondolewe hata sasa hivi
 
Mchengerwa ni waziri bora kabisa, Mama Samia, watanzania wanakulilia, mrudishe Utumishi, huyu ni kiongozi kweli kweli, na ni mkweli kabisa..

Mchengerwa, sijui kama Watumishi wa Umma watampata Waziri bora kama Mchengerwa..

Mama Samia, sikia kilio cha watu wako.
Ukiwa boss hutakiwi kumlea mtumishi wa chini kama mwanao,bali unatakiwa kumtumikisha.

Mchengerwa alikuwa analea uzembe kwa staili hiyo,hii pia ilimkuta Jafo alikuwa anapenda Sana kutetea watumishi wa chini.
 
Mh. Rais watumishi wanamlilia Sana Mchengerwa na wewe ndo mwenye maamuzi ya mwisho either kuwarudishia for uraha yao au kuwaachia huzuni.
 
Kura ya maoni imechukukiwa lini na taasisi gani, hao ni watumishi wa taasisi gani, naona Kama ni kikundi Cha mchengerwa kumpa promo kupitia JF, hii ndio michezo ya kina JK

Huko kwenye utumishi amekaa miezi mingapi, ametatua kero gani,
 
Tunataka Mchengerwa arudi! Mtu anafanya kazi vizuri mnamtoa! Kweli ngozi nyeusi Bado tuna safari ndefu! Hivi huyu jenista sijawahi ona la maana alilofanya, bungeni alikuwa ni mama wa kuwawekea wenzake mapingamizi.....taarifa spika,.....taarifa! Leo wanamuweka Wizara nyeti inayodeal na watumishi! Bure kabisa!
Mchumia tumbo
 
Back
Top Bottom