Ningekuwa ni Mmoja wa viongozi wa CHADEMA muda huu ningekuwa mpakani

CHADEMA NI WAPUUZI SANA TENA WASIO NA AKILI KABISA, "" HIVI NCHI HII ITAKAPOVURUGIKA HUO UPINZANI WAO WATAUFANYIA KATIKA NCHI GANI"""
N. B, Tunao maadui wengi sana wanaosubiria kwa kiu kubwa sana sisi wenyewe tuivuruge nchi waanze kumwaga fedha kwa watu na vikundi mbalimbali alimradi nchi ikibidi isiikalike kabisa

>TUWE MAKINI SANA! TUSICHEKE NA KIMA!,
 

Na wewe ulivyo na akili ndogo ukamuamini huyo mama.
 
Soon utanielewa
Myika si ameitwa police then utaelewa

Unajua clip ya Dr slaa kuhusu kutekana inasemaje? Ukipata hiyo clip then utanielewa what I mean

Clip ya 2021 ya kazi gani?. Kwa hivyo mauaji yote yanayofanyika ni CHADEMA. Acheni ujinga.
 
Ww uko kwenye keyboard unaweza kuandika anything

But wahusika wameelewa namaanisha nini

Unataka wakimbie ili muwabambikie kesi Kama ya kwa Akwelina. Mnakimbia ukweli.
 
Kama hizo taarifa anazo na intelejensia kubwa anayoisema kwanini wanaofanya utekaji na mauwaji hawawajibishwi?

Au hiyo intelejensia ipo kwa ajili ya vyama vya upinzani pekee?

Mimi nimeshangaa Sana. Eti kila kitu kilichoongelewa nimekipata. Lakini raia kuuawa na majambazi barabarani anadai ni Jambo la kawaida.
 
Itoshe kusema nchi ni ya wananchi! Viongozi tumewapa dhamana ya kutuongoza! Wasitunyime haki ya kutafuta haki pale tunapoona hatutendewi haki.
 
Amesema ukweli kuwa mna mipango miovu ya kutaka kuiingiza nchi katika TAHARUKI kupitia njia tofauti.....

Well....

Sawa mimi ni mpuuzi ,kaandamane mwerevu. ...

Sawa mimi mtoto mdogo ,wewe mkubwa mwenye kujitambua vyema kaandamane S 23....

Kila la heri katika maandamano ewe bingwa wa ujasiri nyuma ya keyboard.....
 
Mzalendo lazima ufie nchini kwako.
 
Intelligensia ipo kwa ajili ya kukagua upinzani wanafanya nini lkn kukamata wauwaji wanaomshusha mtu kwenye bus mchana kweupe haipo..Viongozi wetu sijui wanashida gani tu??
 
Haya maneno ni marahisi na matamu ukiwa unaongea behind ya keyboard kama hivyo

Muulize lema familia yake amepeleka wapi
Usiamini wala kujipa imani kuwa kila siku, wewe ukiwa wa kuua, utaendelea kuua watu wengine tu. CCM ilifanya huo ushenzi wakati wa awamu ya 5, katika awamu hii imezidisha maradufu huo ushetani maradufu, lakini ujue kuwa kuna wakati wa wao wauaji, siku nyingine, kukaa huko mipakani, hata kama watu wa haki hawatakuwa bunduki mikononi. Aliyekuwa Rais Bangladesh, Sheikh, mpaka leo amekuwa mkimbizi nchini India. Wananchi hawakubeba panga wala shoka ila uovu wake uligeuka kuwa silaha nzito za kumkimbiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…