Naungana na wewe kuhusu ubaguzi kuwa si jambo zuri. Ila Arusha inakwenda kuharibika chini ya uongozi wa Bashite. Kazi kwao wana Arusha kuomba kwa Mungu vinginevyo wahesabu maumivu makalibila fikra za kibaguzi, anakwenda kuwaongoza na kuwaonyesha njia watu wa Arusha ktka ujumla wao bila kujali jinsia zao, dini zao, siasa na kazi zao, rangi n.k.
hayo ya sijui akina ya akina Fulani, mambo yenye sura na nia za kibaguzi nadhani tuwaachie manyumbu na mihemko yao 🐒
God bless RC Makonda
