Naungana na wewe kuhusu ubaguzi kuwa si jambo zuri. Ila Arusha inakwenda kuharibika chini ya uongozi wa Bashite. Kazi kwao wana Arusha kuomba kwa Mungu vinginevyo wahesabu maumivu makalibila fikra za kibaguzi, anakwenda kuwaongoza na kuwaonyesha njia watu wa Arusha ktka ujumla wao bila kujali jinsia zao, dini zao, siasa na kazi zao, rangi n.k.
hayo ya sijui akina ya akina Fulani, mambo yenye sura na nia za kibaguzi nadhani tuwaachie manyumbu na mihemko yao 🐒
God bless RC Makonda
I can assure you without fear of contradictions, Arusha inakwenda kubadilika chini ya huyu muungwana 🐒Naungana na wewe kuhusu ubaguzi kuwa si jambo zuri. Ila Arusha inakwenda kuharibika chini ya uongozi wa Bashite. Kazi kwao wana Arusha kuomba kwa Mungu vinginevyo wahesabu maumivu makali
Ningekuwa na mamlaka Bashite asingeshika hata ubalozi wa nyumba kumi. Kwakuwa sina mamlaka hayo basi nitoe tu pole kwa wana Arusha. Ndiyo maana wenye nchi zao wamempiga marufuku kutia mguuI can assure you without fear of contradictions, Arusha inakwenda kubadilika chini ya huyu muungwana 🐒
nadhan umeona kikao ya jana na wafanyibiashara na wadau wa sekta ya utalii 🐒
na ule ni mwanzo tu, more are to come as soon as possible 🐒
ndio maana huna hayo mamlaka, kwasabb ya Gubu zako dhidi ya bidii na mafanikio mengine, Mwenyezi Mungu kakuweka apo ulipo 🐒Ningekuwa na mamlaka Bashite asingeshika hata ubalozi wa nyumba kumi. Kwakuwa sina mamlaka hayo basi nitoe tu pole kwa wana Arusha. Ndiyo maana wenye nchi zao wamempiga marufuku kutia mguu
Hapa nilipo pananitosha sana,namshukuru Mungu kwa hilo. Siwezi kuwa na gubu la kuwa muuaji au muovu.ndio maana huna hayo mamlaka, kwasabb ya Gubu zako dhidi ya bidii na mafanikio mengine, Mwenyezi Mungu kakuweka apo ulipo 🐒
sasa kama panatosha unababaika na nini na mambo ya wengine 🐒Hapa nilipo pananitosha sana,namshukuru Mungu kwa hilo. Siwezi kuwa na gubu la kuwa muuaji au muovu.
Kwenye suala la akili sina uhakika, ila ninachojua mtu mzima nikiwemo mimi na wewe hawezi kulazimishwa kufanya jambo asilopendaMkuu una maana hao wakuu wa idara wana akili kama Bashite?
Mimi nasema ukweli tu kuwa mtu muovu kama Bashite hafai kuwa kiongozisasa kama panatosha unababaika na nini na mambo ya wengine 🐒
hamna kinachomtosha mwanadamu labda kiatu na suruali kama
hiyo yako kiuno size 36🐒
Unaweza kuwa DC na RC akakuambia kuwa lazima uwepo kwenye mapokezi ya mtu kama Bashite hivyo ukajikuta huna jinsiKwenye suala la akili sina uhakika, ila ninachojua mtu mzima nikiwemo mimi na wewe hawezi kulazimishwa kufanya jambo asilopenda
Sina chuki na Bashite kwani njia zetu za utafutaji ni tofauti sana. Yeye ni mwanasiasa na mimi nimwananchi wa kawaida sana. Lakini hili halizuii mimi kusema maovu yake. Kuna nchi zimempiga marufuku kukanyaga kwao na siyo kwamba wanachuki naye bali ni kwa sababu ya matendo yakeJitambue.
Hujui kiwango chako Cha chuki kimevuka mipaka Sasa hivi unakuwa mshirikina!
Si ulianza kusema umeachana nae?Sina chuki na Bashite kwani njia zetu za utafutaji ni tofauti sana. Yeye ni mwanasiasa na mimi nimwananchi wa kawaida sana. Lakini hili halizuii mimi kusema maovu yake. Kuna nchi zimempiga marufuku kukanyaga kwao na siyo kwamba wanachuki naye bali ni kwa sababu ya matendo yake
kikatiba , unao uhuru na haki ya kutoa maoni na mtazamo juu ya chochote ila si muhumu uzingatiweMimi nasema ukweli tu kuwa mtu muovu kama Bashite hafai kuwa kiongozi
Ni kweli lakini pia naamini DC au RC haqezi kuamlisha viongoxi wote kwa mkupuo, halafu si ni asilimia chache sana kati ya waliompokea wapo hadi wachoma mahindi n.k hao wameamrishwa na nanUnaweza kuwa DC na RC akakuambia kuwa lazima uwepo kwenye mapokezi ya mtu kama Bashite hivyo ukajikuta huna jinsi
Je wajua watu wasiokuwa na kazi maalumu ni wengi sana nchini Tanzania,pia wanapenda kufatilia mambo yasiyo yq msingi kwa sababu tu hawana cha kufanya. Kuna watu hawana hata taarifa za kuwa huyo Bashite nchi zinazojielewa kapigwa banNi kweli lakini pia naamini DC au RC haqezi kuamlisha viongoxi wote kwa mkupuo, halafu si ni asilimia chache sana kati ya waliompokea wapo hadi wachoma mahindi n.k hao wameamrishwa na nan
Sorry mkuu, kwani wewe ndo babake???Je wajua watu wasiokuwa na kazi maalumu ni wengi sana nchini Tanzania,pia wanapendq kufatilia mambo yq msingi kwa sababu tu hawana cha kufanya. Kuna watu hawana hata taarifa za kuwa huyo Bashite nchi zinazojielewa kapigwa ban
Yote hayo ni vikwazo vya kawaida tu kwa mtu ambaye nyota yake inawaka sana.Je wajua watu wasiokuwa na kazi maalumu ni wengi sana nchini Tanzania,pia wanapendq kufatilia mambo yq msingi kwa sababu tu hawana cha kufanya. Kuna watu hawana hata taarifa za kuwa huyo Bashite nchi zinazojielewa kapigwa ban
Bashite ndiyo jina lake halisi, hilo lingine siyo lake. Kuhusu hao maaskofu hawana maana yoyote kwani washirika wakeSorry mkuu, kwani wewe ndo babake???
Maana umekomalia bashite bashite as if ulimbatiza wewe??
Yote hayo ni vikwazo vya kawaida tu kwa mtu ambaye nyota yake inawaka sana.
Sasa angalia kuna maaskofu wawili mpaka sasa wamemtembelea ofisini kwake na wote wametoka dar es salaam niambie hawa wameamrishwa na nani??
Shauri yako.Bashite ndiyo jina lake halisi, hilo lingine siyo lake. Kuhusu hao maaskofu hawana maana yoyote kwani washirika wake
Na wanaosonga ugali?Shauri yako.
Wenzako wanasonga mbele wewe unasonga chuki.
Mimi kusonga chuki kama unavyoamini ni tatizo langu wala usipate shida mkuu. Lakini Bashite mimi kama mimi lazima ni mu address kwa jina lake halisi na siyo hilo la vyeti fekiShauri yako.
Wenzako wanasonga mbele wewe unasonga chuki.