Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

Sasa kuna ulazima gani kwenda na wakuu wote wa idara
Wameenda wenyewe
 
Kwa sababu makonda anaujinga ujinga mwingi na watanzania wengi ni wajinga wajinga hivyo sishangai na ni sahihi kabisa wajinga wakikutana kufurahiana.
 
Nashangaa umeachana nae huku ukilalama huku JF?. Hizi ni tabia za kike za nataka sitaki.. au wewe ni ke.
Huna hoja, kauli kama hizi hutolewa na watu wenye vinasaba vya kibashite bashite. Naweza kuwa nakulaumu kumbe ndiyo hivyo tena siyo kosa lako
 
Kama umeumia sana si unywe sumu tu yaishe. Watu wanaenda kupokea mtu wao wewe inakuuma nini?
Na wewe si ujipange uende kumpokea Mdude stendi ya mabasi.
Mimi nadhani watu walioenda kumpokea Bashite ni watu dizain yako
 
Labda niulize,Makonda ndo kawaamuru boda boda waende kumpokea? Ndo kaamuru watu wasimame kumuangalia? Na aliwezaje kufanya hayo wakati alikuwa hajaripoti Arusha?
Mshirikina,Bashite ndiye alimfundisha Jiwe ushirikina
 
Facts
 
Mkuu lianzishe basi kwenda kumpokea mdude stendi ya mabasi. Najitolea kukupiga tafu πŸ˜†πŸ˜†
Nikampokee ili iweje mkuu? Pia jua watu wote siyo kama wewe,ndiyo maana watu dizain yako ndiyo mliende kumpokea Bashite. Ila all in all hamkufanya kosa lolote kwani ni haki yenu
 
Nikampokee ili iweje mkuu? Pia jua watu wote siyo kama wewe,ndiyo maana watu dizain yako ndiyo mliende kumpokea Bashite. Ila all in all hamkufanya kosa lolote kwani ni haki yenu
Sasa, kama watu wote siyo kama wewe, .... na waliofanya hivyo hawakufanya kosa lolote; lawama zako kwangu zinatoka wapi? Mbona unakinzana wewe mwenyewe?
 
Sasa, kama watu wote siyo kama wewe, .... na waliofanya hivyo hawakufanya kosa lolote; lawama zako kwangu zinatoka wapi? Mbona unakinzana wewe mwenyewe?
Mim sijakulaumu ,kusema umeacha shughuli zako na kwenda kumpokea Bashite siyo lawama,labda kama na mimi ningekuwa nakutegemea uje kunipokea then unaenda kwa Bashite labda hapo ningeweza kukulaumu.
 
Anachofanya huyu jamaa ni utoto wa hali ya juu, leo asubuhi nilikuwa nina kikao na Lema,kufika kwake naambiwa na yeye kaenda kumpokea Makonda.
Nadhani kuna kitu umejifunza hapo

Siasa ni game… na sisi ni washabiki maandazi
 
Huna hoja, kauli kama hizi hutolewa na watu wenye vinasaba vya kibashite bashite. Naweza kuwa nakulaumu kumbe ndiyo hivyo tena siyo kosa lako
Jitambue.

Hujui kiwango chako Cha chuki kimevuka mipaka Sasa hivi unakuwa mshirikina!
 
Pamoja mkuu,ila nikurekebishe kidogo hapo, sema anakwenda kuongoza watu wenye upeo dizain yako kushika chini
bila fikra za kibaguzi, anakwenda kuwaongoza na kuwaonyesha njia watu wa Arusha ktka ujumla wao bila kujali jinsia zao, dini zao, siasa na kazi zao, rangi n.k.

hayo ya sijui akina ya akina Fulani, mambo yenye sura na nia za kibaguzi nadhani tuwaachie manyumbu na mihemko yao πŸ’

God bless RC Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…