Nini chanzo cha utajiri unaompa kiburi kijana CHIEF GODLOVE MWAKIBETE?

HIVI MNAMKUMBUKA YULE MKURUGENZI WA GAZETI FULANI KIPINDI CHA AWAMU YA TANO...ALIYETAJA WATU HATARI KWA SERIKALI HIYO...SASA HIVI MNAMSIKIA...? KAZI YAKE ITAKUWA NDIO HIYO...
 
Acha wivu tafuta hela, hivi akifuatiliwa wewe unafaidikaje?
Roho za chuki na husda ndiyo zilizokufanya kuwa katika hali yako hiyo.
 
Aiseee!! ... wacha bwana...
 
Halafu anapenda kupost akiwaita watu wasio na kitu Wapumbavu. Ana kiburi Cha kufuru huyu jamaa.

Hawa ni wale wa Agano la kuzikwa kichwa chini miguu juu siku ya kufa kwao. Nafsi Iko mikononi mwa mamlaka tayari
Kwaio unasubir afe ili ufurahi
 
Kila mtu kwenye maisha ana code ambazo ni top secret,huwezi kujua anapataje pesa

Sio kweli. Kuna sehemu lazima iwepo ambayo inakupatia pesa.

Hata dawa za kulevya ni biashara ingawa haramu na wengi huwa hawasemi wanauza ngada
 
Kuwa tajiri ropo ropo, meno ya njano na ngozi iliyofubaa kama unaogea maji ya chumvi nayo kipaji hongera mtoto mdogo mwenye pesa tele tele
 
πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰ Kama anapata Hela Kwa njia ambayo sio tishio Kwa jamiii Sioni kosa lake........ tatzo binadam tumejazwa roho za HILA na CHUKI Ndo maana wengi tunachukia maendeleo ya wengn Ile Hali hatuna mchango wowote kweny harakati zake....... CHIEF GODLOV yuko sahihi KUTUMIA Hela yake anavyotaka yy
 
Mnawajua matajiri nyieeee πŸ˜„

Mtu kila siku yuko mitandaoni
Mara kwenye birian mara sjui wapi upuz mtupu
Mru mnasema ana hela na mpaka sasa biashara yake haijulikani πŸ˜„ zaidi ya kuwachangisha wpmbv waliyojaa nchini watoe hela awaingize kwenye kikundi

Ova
 
Serikali haiwezi kumfatatilia sababu ni mchawi unadhani serikali ikichukuliwa msukure itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…