Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 2,078
- 2,759
Ila Mbeya kuna mmoja alikua anaitwa zombie alikua anapatikana sana maeneo ya nzovwe yeye kuwanunulia vijana pombe na huyo nae c katokq mbeyaKatika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete.
Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30 ila anajisifu kuwa ni mwenye pesa nyingi mno.
Je serikali imeshindwa kumfuatilia kujua asili ya utajiri wa huyu kijana, kazi yake/zake ni nini? na je ni za halali?
Chief Godlove Mwakibete amekuwa akiwapa sana stress vijana na kuwafanya kujiona kuwa wamechelewa maisha na hawajui kutafuta pesa. Mambo anayoyafanya Godlove Mwakibete tumeyashuhudia kwa Social media influencers kama kina Hushpuppi na wengineo ambao mwisho wa yote wamekuja kugundulika kuwa ni watakatishaji wakubwa wa pesa,Matapeli na wengine kujihusisha na biashara haramu za uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya.
Je Chief Godlove ni miongoni mwao au anaigiza?
Ni watu wa watu haoKatika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete.
Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30 ila anajisifu kuwa ni mwenye pesa nyingi mno.
Je serikali imeshindwa kumfuatilia kujua asili ya utajiri wa huyu kijana, kazi yake/zake ni nini? na je ni za halali?
Chief Godlove Mwakibete amekuwa akiwapa sana stress vijana na kuwafanya kujiona kuwa wamechelewa maisha na hawajui kutafuta pesa. Mambo anayoyafanya Godlove Mwakibete tumeyashuhudia kwa Social media influencers kama kina Hushpuppi na wengineo ambao mwisho wa yote wamekuja kugundulika kuwa ni watakatishaji wakubwa wa pesa,Matapeli na wengine kujihusisha na biashara haramu za uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya.
Je Chief Godlove ni miongoni mwao au anaigiza?
Utapeli wa kuibia watu kwa miujiza uchwara. Hayuko peke yake. Wapo wengikama vile josephat gwajima, mwakasege, gamanywa, luseko, mwaposa, marehemu rwakatare, ni wengi siwezi kuwaorodhesha wote. Ni majizi ya kawaida yanayolindwa au kupuuziwa na watawala wezi au wabovu kwa vile wote wanatenda jinai ile ile ya kuwaibia na kuwatumia wenzaoKatika kuperuzi kwangu mitandaoni nimekutana na habari nyingi zinazotrend kumuhusu kijana anayefahamika kama Chief Godlove Mwakibete.
Huyu jamaa amekuwa akipost magari mbalimbali ya kifahari na kujinadi kuwa ni mtoto mdogo mwenye pesa nyingi sana. Ni kijana ambaye ana umri wa miaka chini ya 30 ila anajisifu kuwa ni mwenye pesa nyingi mno.
Je serikali imeshindwa kumfuatilia kujua asili ya utajiri wa huyu kijana, kazi yake/zake ni nini? na je ni za halali?
Chief Godlove Mwakibete amekuwa akiwapa sana stress vijana na kuwafanya kujiona kuwa wamechelewa maisha na hawajui kutafuta pesa. Mambo anayoyafanya Godlove Mwakibete tumeyashuhudia kwa Social media influencers kama kina Hushpuppi na wengineo ambao mwisho wa yote wamekuja kugundulika kuwa ni watakatishaji wakubwa wa pesa,Matapeli na wengine kujihusisha na biashara haramu za uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya.
Je Chief Godlove ni miongoni mwao au anaigiza?
Sio kila MtuKila mtu kwenye maisha ana code ambazo ni top secret,huwezi kujua anapataje pesa
Mi namfananisha na mwakibete mmoja hivi huyo mzee alikua ni mkurugenzi wa shirika moja kubwa na Kuna sehemu kama mbili hivi alijenga makanisa maana alifika hayo maeneo na hakukuwa na kabisa ambalo yeye anaabudu.....Baba yake kwao pale uyole alikua mwinjilisti. Kuna kanisa pale mwakibete.
Tulikua tunalima mahindi huko juu mlimani na mzee.
Kuhusu hizo pesa kazipataje na matumizi yake Sijui.
Let him do whatever make him happy.
Najua hii kauli ya mwisho haielewi na jicho lake la 3.
Yeah Kuna ma don ninaowajua wana pesa za namna hiyo. Tatizo masharti!Pesa za manyooka?? Hivi ni kweli Kuna pesa za namba hyo?
Ni hao hao, mi nazungumzia miaka ya 80 huko.labda mama yake ndio alikua mtoto wa yule mwinjilisti.Mi namfananisha na mwakibete mmoja hivi huyo mzee alikua ni mkurugenzi wa shirika moja kubwa na Kuna sehemu kama mbili hivi alijenga makanisa maana alifika hayo maeneo na hakukuwa na kabisa ambalo yeye anaabudu.....
Kama ni mtoto wa huyo mzee hapo mchawi ni connection na kujiamini kuvaa sura ya kazi,,, kama ni yeye ana kaka yake anaitwa daudi walichangia baba kwa sasa ni marehemu afariki miaka ya 2010 !!!!! Alidhurumu wenzie kwenye mgao.
Kama ni huyo ninaemzania wabongo wamuache na wajifunze kufanya kazi kwa bidii.
Wewe ndio umeshtukia mchezo aliyoicheza yule jamaa,ni mjanja mjanja wa kuongea na propaganda hiyo ikamfanya apate umaarufu.Mwacheni kijana,Alitumia mbinu yakujibran wakati hana kitu,Akateka akili za wabongo,Kisha akawavutia walioshika uchumi wa Nchi(Wale wajanja janja) Kwasasa anatengeneza pesa ya halali kabisa.Ila mwanzo ilikuwa nikujibrand tu.
Subiri afe tupelekwe kwao atakapozikwa ndio utaujua ukweli halisi, kwa sasa wewe tulia hivyo hivyo akifa tu utajua kila kinachomuhusu marehemu hana SiriChief Godlove Mwakibete amekuwa akiwapa sana stress vijana na kuwafanya kujiona kuwa wamechelewa maisha na hawajui kutafuta pesa.
Hata mimi naamini si yeye kuna madon wamejificha nyuma yake.Anatumika. Money laundering. Hana pesa yoyote.
Ukifa ww kabla yake itakuaje sasa?Subiri afe tupelekwe kwao atakapozikwa ndio utaujua ukweli halisi, kwa sasa wewe tulia hivyo hivyo akifa tu utajua kila kinachomuhusu marehemu hana Siri
Yes kuna mazuzu wanatuma hela ili wafundishwe kuwa tajiri sasa hawajiulizi kwamba mtu ameshakuwa bilionea anataka mchango wa laki wa niniHakuna cha project huyo ni tapeli tu.
Anadanganya watu watoe laki na nusu awafundishe kutoa kafara. Yeye kama ni bilionea anataka laki na nusu ya kazi gani.
Kuna video alipiga na manoti mengi kumbe amechonga vimbao akapaka rangi zionekane ni hela.
Ila kwa kwa kuwa wajinga ni wengi, atapiga sana hela.
Kuna yule mother muuza Chakula alikua anawasema watu kule Insta kaenda kuingia kwenye 18 kanasa Uarabuni huko kafunga kete kibao kwenye WigiKwaiyo mkuu unavyumuona huyo jamaa kweli yupo chini ya miaka30,?? Na huo utajiri anaojisifia unaona ni wa halali kabisa.
Jipe muda