Ndio unaingia msemo wa : Pesa wengi wanazo wewe hujui wazipata vipi, acha tamaaYes kuna mazuzu wanatuma hela ili wafundishwe kuwa tajiri sasa hawajiulizi kwamba mtu ameshakuwa bilionea anataka mchango wa laki wa nini
Huyo akifa utajua mpaka aliosooma nao vidudu wanakupa background yake yooote bila kumuacha hata robo marehemu hana Siri akilala amelala atapekuliwa mpaka upenuni amelala tu, sasa hivi si anajifanya ana Siri subiria afe utamjua vizuriUkifa ww kabla yake itakuaje sasa?
Alisemaje mkuu?Kigogo alishafafanua
Kwa kipi alichonacho special ili apate pesa hivyo za ndangu? Unajua chochote kuhusu ulimwengu wa Roho na namna hiyo mikataba ilivyo mkuu?Na anatoa kafara mooo tu achinji mtu ni mooo
10yrs ago alikuwa na miaka 19. Miaka 19 ni kijana anayejitambua kabisa.
Pi ya juzi juzi tu.
Unawaza ushoga tu dogo. Jicho la 3 hajamaanisha ushoga mkuu.Tusidanganyane hapa, yaan Mk ndo umpe hizo pesa na maisha ya kufuru? Kwa basha gani? Hata hao wageni hawahongi hivyo.
Huyu kuna njia ingine anayopatia pesa hizo, ila sio kukunja 7, iko siku ukweli utajulikana tu.
Hana mafanikio yoyote ila anafuatiliwa kwa sababu anapotosha na kutapeli vijana mkuu. 😄😄😄Tabia za kichawi na wivu wakike kufuatilia mafanikio ya mtu
Ni watu wachache sana watashtukia huu mchezo anaoufanya jamaa.Unawaza ushoga tu dogo. Jicho la 3 hajamaanisha ushoga mkuu.
Kijana ni tapeli na hana pesa yoyote anachofanya ni kutafuta trend tu kwani ameona fursa ya kutapeli watu.
Nifahamuvyo huenda kwa watu maarufu na wenye magari makali ambapo huomba apige picha au are kodi na kisha kuweka mtandaoni akisema amenunua. Pia mara nyingi huenda kwenye mahoteli au sehemu zenye ufahari na kurekodi huko ili ajitengeneezee jina na pia kutangaza hizo hoteli.
Wengi wanasema anapesa za ndagu na kafara. Nijuavyo masuala ya Ulimwengu wa Roho jamaa hana influence yoyote ambayo Shetani watampa pesa kiasi hiko. Juyo hana kafara zozote atoazo wala hayupo freemason kwani hana ushawishi kwa watu wowote. Hakuna ufalme wa giza unaotoa pesa kwa mtu asiye maarufu kwani hana influence wala nyota yoyote Pia hana mission yoyote waliyompa.
Kuhusu jicho la 3 yeye ameanzisha group lake telegram na whatsapp ambapo analiita "kufungua jicho la 3" na humu JF kuna mada inayohusu hilo Jicho la tatu. Huko anawapata wajinga kwa kiingilio cha laki 1. Huko.ndio anapata pesa ya kujitangaza zaidi ila ni mtu asiye na mbele wala.nyuma.
Mtu ambaye hana Biashara, kazi wala influence yoyote hawezi kuwa freemason wala hawezi kuwa umuhimu wowote katika ufalme wa giza kwani principle za kiroho zinaanza na "una nini mkononi mwako" kama ambavyo Mungu alimuuliza Mussa "una nini mkononi mwako".
Yeah ni kweli bro.Sio mimi niliyetaja ushog ila namkosoa mtu aliyesema chanzo cha mapato yake ni ushog.
Mimi naamini jamaa hana pesa ni muigizaji tu ili awanase mabumunda apige hela.
Ni hesabu ndogo sana
Wapi wewe fanya kazi acha wivu wa kishamba eti magari anakodi we unafikiri kukodi kunatumia hayo makalio Yako kukodi kunatumia pesa aisee mijitu masikini inawivu namaisha ya watuWewe ndio umeshtukia mchezo aliyoicheza yule jamaa,ni mjanja mjanja wa kuongea na propaganda hiyo ikamfanya apate umaarufu.
So kwa sasa umaarufu alionao unamsaidia kupata pesa fulani za kuishi mjini ila sio tajiri kama anavyowaaminisha watu,kwa mfano inasemekana ana magroup yake ya whatsapp kujiunga unalipia laki 1 ili awafundishe watu jinsi ya kutafuta utajiri na kuna mazuzu wengi tu wanalipia na kujiunga ili wafundishwe jinsi ya kuwa tajiri sasa unadhani kwa siku wakilipia watu 5 tu hawezi kuishi mjini na kupata hela ya mafuta ili aendelee kuwatishia watu.
Zile gari za kifahari sio zake zinakuwa ni za kukodi na kuazima kwa matajiri ambao wameficha identity zao.
Je ukianza kufa wewe utamjuaje?Huyo akifa utajua mpaka aliosooma nao vidudu wanakupa background yake yooote bila kumuacha hata robo marehemu hana Siri akilala amelala atapekuliwa mpaka upenuni amelala tu, sasa hivi si anajifanya ana Siri subiria afe utamjua vizuri
Mkuu chamsingi chiefgodlove amekimbia njaa...maisha ni vita..chamsingi matokeo tuHana mafanikio yoyote ila anafuatiliwa kwa sababu anapotosha na kutapeli vijana mkuu. 😄😄😄
Unaamini Hana pesa we ni mke wake mzee mbona masikini mnawivu sana namaisha ya watu tafuteni pesa zenu sio kukaa kujadili pesa za watuSio mimi niliyetaja ushog ila namkosoa mtu aliyesema chanzo cha mapato yake ni ushog.
Mimi naamini jamaa hana pesa ni muigizaji tu ili awanase mabumunda apige hela.
Ni hesabu ndogo sana
Huyo jamaa huu ni mwaka wa 4 tangia aanzee hizo mambo za kuongea mtandaoni na Kila siku mnaongea hivyo hivyo masikini njaa imefikia mpaka kwenye akili mmekua empty Kwa wivu🤣🤣🤣Ni watu wachache sana watashtukia huu mchezo anaoufanya jamaa.
Hii michezo inafanyika sana na watu wa Nigeria na Ghana miaka mingi sana sema huku kwetu bongo bado ni kama kitu kipya ndio maana watu wengi wanaingia mkenge na kumuamini ila ni hesabu ndogo sana ukiwa ni mtu wa kutafakari
Nimesema akifa huyo pimbi wenu kilema mtajua kila kitu kinachomuhusu si anafanya Siri subirini afe marehemu hana Siri mwambieni mapema, unamkumbuka Dokta Shika 900 itapendezaJe ukianza kufa wewe utamjuaje?
Pesa anayo sio njaa kama wewe mzee ukitaka uamini pesa anayo igiza maisha yake wiki Moja tu upne hiyo gharama yake Sasa huyo jamaa tangia 2021 Mimi namuona mtandaoni anatamba kikubwa hapo pambana na Hali Yako huyo pesa ipoUnawaza ushoga tu dogo. Jicho la 3 hajamaanisha ushoga mkuu.