King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Nakubaliana na wewe ,jamaa yupo kwenye project ya "TEETH" ya kuwaaminisha vijana kwamba pesa zipo wafanye kazi ,wapate hasira za kutafuta! Cha kushangaza mtu ni bilionea lakini mwili unazidi kuisha.Hakuna cha tajiri hapo
Huyo dogo ni project yenye kazi maalum
Aisee unamuamini kigogo wa facebook? Kigogo wa facebook na Dr William wa USA mimi naona machizi tu yaani vilaza ,mtu makini kabisa anajua jamaa ni MAKOPO tu ,hata kuandika hawawezi ,wanachanganya sana L na R...Kigogo alishafafanua
Kama wewe unahitaji kuwa chawa wake nenda kajiunge naye ila siku mambo yakibuma mnaingizwa wote kwenye kikaango kimojaHuyo jamaa huu ni mwaka wa 4 tangia aanzee hizo mambo za kuongea mtandaoni na Kila siku mnaongea hivyo hivyo masikini njaa imefikia mpaka kwenye akili mmekua empty Kwa wivu🤣🤣🤣
Wewe ndio nikuulize akaunti zake zenye pesa umeziona?wewe unalala naye hadi akuoneshe pesa zake?Unaamini Hana pesa we ni mke wake mzee mbona masikini mnawivu sana namaisha ya watu tafuteni pesa zenu sio kukaa kujadili pesa za watu
Basi mkuu umeshinda ila nilikuwa naomba nijifunze mkuu. Jamaa anajishughulisha na shughuli gani inayompa kipato ili sisi maskini tusiotafuta pesa tujifunze mkuu? Pia usitukane basi.Weka ushahidi wa mtu alietapeliwa hapa
Mimi naona maisha yake anayoishi na anavyosaidia masikini haya wewe unayesema Hana pesa kwamba we ni mke wake unapinga anayofanya sio KweliWewe ndio nikuulize akaunti zake zenye pesa umeziona?wewe unalala naye hadi akuoneshe pesa zake?
Mbona unaumia sana mzee?Kwani wewe ni mama watoto wake?muache ajitetee mwenyewe sio wewe kujitia kimbelembele kwani anakujua?Wapi wewe fanya kazi acha wivu wa kishamba eti magari anakodi we unafikiri kukodi kunatumia hayo makalio Yako kukodi kunatumia pesa aisee mijitu masikini inawivu namaisha ya watu
Shughuli yake uijue Yanini pambana na Hali Yako duniani umekuja kuchunguza shughuli za watu maana dunia inawatu zaidi ya bil5 Kila mtu ukitaka kujua shughuli yake utakua timamu kweli kichwaniBasi mkuu umeshinda ila nilikuwa naomba nijifunze mkuu. Jamaa anajishughulisha na shughuli gani inayompa kipato ili sisi maskini tusiotafuta pesa tujifunze mkuu? Pia usitukane basi.
Baaaaaasi umemaliza nilihisi hiki kitu muda sanaaHakuna cha tajiri hapo
Huyo dogo ni project yenye kazi maalum
Ajitetee Kwa fukara kama wewe ambae hamna alichokuchukulia ila Kwa chuki zako tu za umasikini ndio ajiteteeMbona unaumia sana mzee?Kwani wewe ni mama watoto wake?muache ajitetee mwenyewe sio wewe kujitia kimbelembele kwani anakujua?
Kusaidia watu ni maamuzi tu ya mtu haihalalishi kuwa ndio amekuwa tajiri,hata wewe mchumba wa chief ukiamua hela anazokuonga unaweza kwenda kutoa misaada piaMimi naona maisha yake anayoishi na anavyosaidia masikini haya wewe unayesema Hana pesa kwamba we ni mke wake unapinga anayofanya sio Kweli
Njaa inakusumbua ndio maana unaichukia waliokuzidi na hii inaonesha kwamba masikini mnaroho mbaya sanaKama wewe unahitaji kuwa chawa wake nenda kajiunge naye ila siku mambo yakibuma mnaingizwa wote kwenye kikaango kimoja
Usiamini sana vi-clip vya mitandaoni...Open Kitchen inawezekana akawa anauza mchicha nje kweli maana ukipata connection ya kupeleka vyakula natural nje unapiga pesa fresh tu....Pia wazazi wake walimuachia pesa za "ULISI".Kuna yule mother muuza Chakula alikua anawasema watu kule Insta kaenda kuingia kwenye 18 kanasa Uarabuni huko kafunga kete kibao kwenye Wigi
Watu wakipigwa na maisha jumlisha na wivu huwa wanakurupuka sanaUsiamini sana vi-clip vya mitandaoni...Open Kitchen inawezekana akawa anauza mchicha nje kweli maana ukipata connection ya kupeleka vyakula natural nje unapiga pesa fresh tu....Pia wazazi wake walimuachia pesa za "ULISI".
Habari za Upendo Open Kitchen Kukawamatwa ni Uongo ile Clip ni ya zamani sana na si yeye.
Kwann asifatiliwe, kama anauza Figo za watu je?Watanzania tuna roho za kwanini sana sijui nani alituroga.!!
unataka serikali imfuatilie and then what? Utanufaika nini na huo uchunguzi? Serikali ipi kwanza, ya hao majambazi wa ccm au ipi?
Man up.!!
We mbona hufatiliwiKwann asifatiliwe, kama anauza Figo za watu je?