Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

hao ni ng`ombez kabisa wanahangaika na umizimu wa mjane Rita
Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe asema Bwana Mungu
Ngoja sisi tuendelee kuombewa na nabii Suguye pale Kivule - matembele ya pili
 
Wewe una tofauti gani na Mbuzi?,tena Mbuzi tu anakuzidi akili,hata Mbuzi hawezi kumuita Mbuzi mwenzie mtakatifu,ila wewe na akili zako unamuita mtu ambaye alikuwa akipiga au kupiga mikunyubenga mtakatifu,utakuwa mzima kichwani kweli?
1. Waebrania 13:24 - "Wasalimuni wote wanaowaongoza ninyi na watakatifu wote. Wale wa Italia wanawasalimu."

2. 1 Petro 1:15-16 - "Bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; kwa sababu imeandikwa, ‘Mtakuwa watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu.’"

3. Warumi 16:15 - "Wasalimuni Fileologi na Yulia, Nerea na dada yake, na Olimpa, na watakatifu wote pamoja nao."

4. Waefeso 1:1 - "Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, kwa watakatifu walioko Efeso, walio waaminifu katika Kristo Yesu."

5. Wafilipi 4:21-22 - "Wasalimuni watakatifu wote katika Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami wanawasalimu. Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wao walio wa nyumbani mwa Kaisari."

6. Zaburi 16:3 - "Watakatifu walioko duniani, ndio walio bora, ndio ambao napendezwa nao."
 
hao ni ng`ombez kabisa wanahangaika na umizimu wa mjane Rita
Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe asema Bwana Mungu
  • Ufunuo 5:8 - "Hata alipoitwa kitabu, hao wenye uhai wanne na wazee ishirini na wanne wakaanguka mbele ya Mwana-Kondoo, kila mmoja wao ana kinubi na vikombe vya dhahabu vilivyojaa manukato, ambazo ni sala za watakatifu."
  • Ufunuo 8:3-4 - "Malaika mwingine akaja, akasimama karibu na madhabahu, akiwa na chetezo cha dhahabu; akapewa manukato mengi, ili ayatoe pamoja na sala za watakatifu wote, juu ya madhabahu ya dhahabu, iliyo mbele ya kiti cha enzi. Na moshi wa manukato hayo ukapanda mbele za Mungu pamoja na sala za watakatifu, kutoka mkononi mwa malaika
 
NI trend tu kama Mafuta ya manabii..
Dunia imekuwa na tabu na dhiki nyingi inapelekea watu kutaka majibu ya haraka ndio zinapoibuka njia kama hizi kitu ambacho sio kibaya.
Hata wasiojibiwa wajue kuwa kuna muda Mungu mwenyewe hakujibu ana maana zake... sio kwamba huo sio muda wako ila wakati mwingine ni njia tu za Mungu
Mana wote tukijibiwa tabu atapata nani😅
 
Best answer...
Ni upepo tu utapita
 
  • Ufunuo 5:8 - "Hata alipoitwa kitabu, hao wenye uhai wanne na wazee ishirini na wanne wakaanguka mbele ya Mwana-Kondoo, kila mmoja wao ana kinubi na vikombe vya dhahabu vilivyojaa manukato, ambazo ni sala za watakatifu."
  • Ufunuo 8:3-4 - "Malaika mwingine akaja, akasimama karibu na madhabahu, akiwa na chetezo cha dhahabu; akapewa manukato mengi, ili ayatoe pamoja na sala za watakatifu wote, juu ya madhabahu ya dhahabu, iliyo mbele ya kiti cha enzi. Na moshi wa manukato hayo ukapanda mbele za Mungu pamoja na sala za watakatifu, kutoka mkononi mwa malaika
Endeleeni kujidanganya ng'ombe nyie!

MAANA YA MTAKATIFU

1.Mtakatifu ni Mungu mwenyewe kwasababu Hana dhambi,hajawahi kutenda dhambi.

2.Haki,isiyo na mawaa mbele za Mungu,isiyotenda dhambi,kufikiri dhambi,isiyo na hila!

3.Kufungamanishwa au kutengwa mbali na dhambi!

Nyie mbugila mnapaswa mkae kwenye hizo sifa 2,hiyo ya kwanza Niya Mungu mwenyewe!

Kuitwa mtakatifu maana yake huyo aitwaye ni mtu mwema asiye na dhambi hata tone!

Sasa huyo Malaya wenu mnaye muita mtakatifu hakuwahi Kuwa na dhambi?
 
Yesu hakuweka conditions mapastor wako wamekuwekea conditions ili ikibuma wazuge...

Amka ....

Kusali ni biko...the answers is no yes or maybe what's the difference between praying n not praying... niambie Kuna tofauti Gani...?
Unaongea mitazamo yako binafsi zaid na kilr unachokiamin wewe, sasa hbaya mi siwez kukushawishi otherwise
 
Endeleeni kujidanganya ng'ombe nyie!

MAANA YA MTAKATIFU

1.Mtakatifu ni Mungu mwenyewe kwasababu Hana dhambi,hajawahi kutenda dhambi.

2.Haki,isiyo na mawaa mbele za Mungu,isiyotenda dhambi,kufikiri dhambi,isiyo na hila!

3.Kufungamanishwa au kutengwa mbali na dhambi!

Nyie mbugila mnapaswa mkae kwenye hizo sifa 2,hiyo ya kwanza Niya Mungu mwenyewe!

Kuitwa mtakatifu maana yake huyo aitwaye ni mtu mwema asiye na dhambi hata tone!

Sasa huyo Malaya wenu mnaye muita mtakatifu hakuwahi Kuwa na dhambi?
1. Waebrania 13:24 - "Wasalimuni wote wanaowaongoza ninyi na watakatifu wote. Wale wa Italia wanawasalimu."

2. 1 Petro 1:15-16 - "Bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; kwa sababu imeandikwa, ‘Mtakuwa watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu.’"

3. Warumi 16:15 - "Wasalimuni Fileologi na Yulia, Nerea na dada yake, na Olimpa, na watakatifu wote pamoja nao."

4. Waefeso 1:1 - "Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, kwa watakatifu walioko Efeso, walio waaminifu katika Kristo Yesu."

5. Wafilipi 4:21-22 - "Wasalimuni watakatifu wote katika Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami wanawasalimu. Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wao walio wa nyumbani mwa Kaisari."

6. Zaburi 16:3 - "Watakatifu walioko duniani, ndio walio bora, ndio ambao napendezwa nao."

Je hao walio itana watakatifu hawakuwa na dhambi ?
 
Back
Top Bottom