Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Tupe experience ya mizimu. Huwa inajibu maombi?Kuwaomba marehemu haina tofauti kuiomba mizimu
Na mtu akisha kufa amekufa marehemu hawezi wasaidia wala kuwaombea walio hai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe experience ya mizimu. Huwa inajibu maombi?Kuwaomba marehemu haina tofauti kuiomba mizimu
Na mtu akisha kufa amekufa marehemu hawezi wasaidia wala kuwaombea walio hai
Kwani ukiwaomba watakatifu wakakuombea kwa Mungu kwa jina la Yesu kuna shida gani?Kwani mkimuomba Mungu moja kwa moja kwa jina la Yesu kuna shida gani.
hao ni ng`ombez kabisa wanahangaika na umizimu wa mjane Ritakwahio mnamuomba binadamu mwenzenu?mang,ombe nyie
Hii ni albadr ya wakatoliki au kitu gani?Ni kweli mtakatifu Ritha wa Kashia anasikiliziwa zaidi na Mungu au ni Placebo(matibabu ya kutuliza akili kwa kuidanganya) iliyozuka ghafla kwa Wakatoliki wengi wa bongo?
View attachment 3139512View attachment 3139514
Ngoja sisi tuendelee kuombewa na nabii Suguye pale Kivule - matembele ya pilihao ni ng`ombez kabisa wanahangaika na umizimu wa mjane Rita
Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe asema Bwana Mungu
Hukusali kwa imaniKuna mtu humu JF aliwahi kunisogezea hy sala kutokana na changamoto fulani za kikazi, nikafanya kama ilivyotakiwa kufanywa ila nimegonga mwamba
1. Waebrania 13:24 - "Wasalimuni wote wanaowaongoza ninyi na watakatifu wote. Wale wa Italia wanawasalimu."Wewe una tofauti gani na Mbuzi?,tena Mbuzi tu anakuzidi akili,hata Mbuzi hawezi kumuita Mbuzi mwenzie mtakatifu,ila wewe na akili zako unamuita mtu ambaye alikuwa akipiga au kupiga mikunyubenga mtakatifu,utakuwa mzima kichwani kweli?
hao ni ng`ombez kabisa wanahangaika na umizimu wa mjane Rita
Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe asema Bwana Mungu
Wewe endelea kumuomba bikira mariamu akuombee Ili uwe na akili!Ulisema Mtakatifu ni Mungu pekee. Kwa hiyo huo mwenendo mzuri uliotajwa kutakiwa ufanyike katika hicho kifungu, ni wa wanadamu au Mungu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Visingizio vyenu vitu vikibumaHukusali kwa imani
Tumsifu Yesu Kristo. Tunaomba copy ya hiyo NOVENA TAFADHALINi kweli mtakatifu Ritha wa Kashia anasikiliziwa zaidi na Mungu au ni Placebo(matibabu ya kutuliza akili kwa kuidanganya) iliyozuka ghafla kwa Wakatoliki wengi wa bongo?
View attachment 3139512View attachment 3139514
Best answer...NI trend tu kama Mafuta ya manabii..
Dunia imekuwa na tabu na dhiki nyingi inapelekea watu kutaka majibu ya haraka ndio zinapoibuka njia kama hizi kitu ambacho sio kibaya.
Hata wasiojibiwa wajue kuwa kuna muda Mungu mwenyewe hakujibu ana maana zake... sio kwamba huo sio muda wako ila wakati mwingine ni njia tu za Mungu
Mana wote tukijibiwa tabu atapata nani😅
Kama tu ulishindwa kumaliza kidato cha pili, ujasiri wa kufanya mijadala humu unaupataje?Wewe endelea kumuomba bikira mariamu akuombee Ili uwe na akili!
Endeleeni kujidanganya ng'ombe nyie!
- Ufunuo 5:8 - "Hata alipoitwa kitabu, hao wenye uhai wanne na wazee ishirini na wanne wakaanguka mbele ya Mwana-Kondoo, kila mmoja wao ana kinubi na vikombe vya dhahabu vilivyojaa manukato, ambazo ni sala za watakatifu."
- Ufunuo 8:3-4 - "Malaika mwingine akaja, akasimama karibu na madhabahu, akiwa na chetezo cha dhahabu; akapewa manukato mengi, ili ayatoe pamoja na sala za watakatifu wote, juu ya madhabahu ya dhahabu, iliyo mbele ya kiti cha enzi. Na moshi wa manukato hayo ukapanda mbele za Mungu pamoja na sala za watakatifu, kutoka mkononi mwa malaika
Unaongea mitazamo yako binafsi zaid na kilr unachokiamin wewe, sasa hbaya mi siwez kukushawishi otherwiseYesu hakuweka conditions mapastor wako wamekuwekea conditions ili ikibuma wazuge...
Amka ....
Kusali ni biko...the answers is no yes or maybe what's the difference between praying n not praying... niambie Kuna tofauti Gani...?
Sawa tajiriN muda mrefu sasa nimeweka utaratibu wa kusali, japokuwa mara chache hua nazembea.
1. Waebrania 13:24 - "Wasalimuni wote wanaowaongoza ninyi na watakatifu wote. Wale wa Italia wanawasalimu."Endeleeni kujidanganya ng'ombe nyie!
MAANA YA MTAKATIFU
1.Mtakatifu ni Mungu mwenyewe kwasababu Hana dhambi,hajawahi kutenda dhambi.
2.Haki,isiyo na mawaa mbele za Mungu,isiyotenda dhambi,kufikiri dhambi,isiyo na hila!
3.Kufungamanishwa au kutengwa mbali na dhambi!
Nyie mbugila mnapaswa mkae kwenye hizo sifa 2,hiyo ya kwanza Niya Mungu mwenyewe!
Kuitwa mtakatifu maana yake huyo aitwaye ni mtu mwema asiye na dhambi hata tone!
Sasa huyo Malaya wenu mnaye muita mtakatifu hakuwahi Kuwa na dhambi?