Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

Sema tukiacha unafiki kila mtu ana mtu wake ambaye anampenda kuliko japokuwa hajafanikiwa kuishi nae pamoja.
Me huyo mwanamke ndio wa pekee ambaye anaweza kunambia kaa nika kaa au simama nikasimamaπŸ₯Ή.
Yani anaweza kunifanya nikaonekana mjinga mbele za watuπŸ˜‚
 
Kipi hasa cha kipekee kwake kinachokuvuta kwake kiasi hicho?
 
Na wewe unao wangap, je upendo wako kwao upo sawa
Ninao watoto Wanne, Kila mmoja ana mguso wake, unakuta huyu ana kitu ambacho mwingine hana ,kwa hiyo unapenda hiki kwa huyu na kile kwa yule, Huwezi kuvijumlisha kwa mmoja, ni ngumu sana kupenda mmoja zaidi ya wengine, nimeshindwa.
Nina mtoto wa Tano ambaye sina, huyu tunabondi ya tofauti, Maisha yangu ni kama yake nimemuomba akipata chochote anishirikishe kwa kuwa mimi nina majibu mengi ya maisha yake.
 
Sahihi kabisa

Wazazi hupenda watoto watiifu

Ukiwa na mambo mengi, sio rahisi kupendwa kihivyo
Kwa experience yangu ndogo hii sio kweli mkuu..

Wazazi huwa wanapenda watoto kwa sababu zao binafsi ila siamini ni kwa influence pekee ya tabia za mtoto.
 
Kwa experience yangu ndogo hii sio kweli mkuu..

Wazazi huwa wanapenda watoto kwa sababu zao binafsi ila siamini ni kwa influence pekee ya tabia za mtoto.
Huenda uko sahihi Mkuu, hiyo ya utii inaweza kuwa ni sehemu ya hizo sababu binafsi

Mama wa watoto wangu, anawependa watoto wote ila amezidisha mapenzi kwa mtoto mmoja ambaye ukimuona huyo mtoto, ni kama umeniona Mimi

Copy and paste

Nahisi sababu hiyo pamoja na nyingine labda, zimepelekea yeye azidishe mapenzi zaidi kwa yule dogolasi
 
Kila binadamu anakuwa na mvuto tu wakipekee anayezidi ndio huwatawala wengine. Kuna mtu anakubalika tu hata hana chamaana lakini watu wanamkubali ,, hata akiingia kitaa nirahisi kuwa na marafiki
 
Mapenzi ya Mzazi kwa mtoto hayaangalii tabia ya mtoto
Huwo ni uongo ,inatofautiana , Mimi napendwa na Baba na naabudiwa kama Moja ya miungu lakin ni baada tu ,ya kutimiza zile sifa ambazo amekuwa akizitaka Toka zaman kupitia kwa wakubwa zangu zaidi ya 6 ,na akakosa.
Hata mim alikuwa hanipendi alipenda watoto wake wakike lakin baada ya Mimi kuwa Bora kuliko wao basi akili ikabadilika.


Kwangu amependa tabia nipo na kama zake , misimamo kama yake ya kizaman, usimamiz wa Mali na pesa hapa ndo penyewe .Na kaelimu kwa mbaaali ka degree ka udsm ka Geologist .
Inshort kwa watoto wake huomba ni Bora wakosane na Baba ila sio Mimi ,maana Baba anaweza gawa laana .
 
Yule anaefuata vizuri maadili ya familia huwa hupendwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…