Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

Watoto walionyooka huwa wanageuka kuwa punda wa familia ,kubebeshwa mizigo ya watukutu wote katika familia hiyo waliokataa misingi
Ni kweli mkuu hii ipo sana sana.
 
Ni kweli mkuu
 
Broo wangu yuko hivi… vitu anatufanyia wadogo zake nasema kabisa mimi misingeweza.πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ

Lakini bado mama ananipenda sana mimi 😁
Ndio hivyo huo ni upendo natural. Ngumu kuuzuia au kuelezea kwa nini anakupenda zaidi.
 
Hiyo ni kweli nimeiona ,
Mara nyingi wazazi pia kwa sababu na wao pia kwenye familia zao kulikua kuna mmoja anapendwa kuliko wengine na yeye pia anafanya hivyo kwa kuiga

Lakini wengine inakua ni automatically anampendeza zaidi

Kama mimi na mdogo wangu
Tulipokuwa wadogo niliona kabisa kuwa yeye anapendwa zaidi kuliko mimi .

Lakini ukubwani , mimi ndiye ambaye napendwa zaidi lakini sababu ni tabia zangu tu lakini yeye upendo kwake naona wamepunguza kwa sababu ya tabia zake.

Kwa hiyo hiyo hutokea sana
 
Huyo atakuwa siyo mzazi maana wahenga wanasema "uchungu wa mwana aujuae mzazi".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…