Kweli mingi sana. Hongera
Sawasawa mkuu.Hiyo ni kweli nimeiona ,
Mara nyingi wazazi pia kwa sababu na wao pia kwenye familia zao kulikua kuna mmoja anapendwa kuliko wengine na yeye pia anafanya hivyo kwa kuiga
Lakini wengine inakua ni automatically anampendeza zaidi
Kama mimi na mdogo wangu
Tulipokuwa wadogo niliona kabisa kuwa yeye anapendwa zaidi kuliko mimi .
Lakini ukubwani , mimi ndiye ambaye napendwa zaidi lakini sababu ni tabia zangu tu lakini yeye upendo kwake naona wamepunguza kwa sababu ya tabia zake.
Kwa hiyo hiyo hutokea sana
Umeeleza vema Mshana.Hali ya mzazi kumpenda au kumwonyesha upendeleo mtoto mmoja zaidi ya wengine husababishwa na mambo kadhaa ya kisaikolojia, tabia za watoto, na mazingira ya ukuaji wa familia.
Kisaikolojia, wazazi wengi huvutiwa zaidi na mtoto ambaye anashabihiana nao tabia, mtazamo wa maisha, au haiba, kwani wanajiona wao wenyewe kupitia mtoto huyo na hivyo kujenga unganisho kubwa la kihisia bila hata kujitambua.
Pia, watoto wenye utii, nidhamu, na tabia njema huvuta upendo wa haraka kuliko wale wajeuri au watukutu wanaosababisha migogoro ya mara kwa mara.
Sababu nyingine inatokana na uhitaji maalum na changamoto za kiafya, ambapo mzazi hujikuta anaweka nguvu na muda mwingi kwa mtoto mgonjwa au mwenye ulemavu kwa wajibu wa kumlinda.
Nafasi ya uzazi (kama mtoto wa kwanza au kitinda mimba), jinsia inayotamaniwa katika familia, mafanikio ya kimasomo au vipaji vya mtoto, na hata historia ya kiuchumi wakati mtoto anazaliwa, vyote huchangia mzazi kuwa na mtoto anayemfurahisha zaidi.
Hata hivyo, wataalamu wa malezi wanaonya kuwa ingawa hisia hizi ni za kibinadamu, kuonyesha ubaguzi wa waziwazi kuna madhara makubwa kwani huharibu ujasiri wa watoto wengine na kupanda mbegu ya chuki ya kudumu kati ya ndugu.
Hii ni kwasababu akina baba huwa mnawanyanyapaa watoto wa hivyo hivyo mama inabidi ndio awe faraja kwao.Na mara nyingi matoto matukutu ndio yanapendwa na mama zao.
Hakika. Na hakuna mzazi huwa anakubali hili ila hata watoto wanakuwa wanajua nani anapendwa zaidi.Tabia mbaya kubagua watoto, iwe kwa mafanikio yao au vinginevyo.
Isifie AI.Umeeleza vema Mshana.
Hauwezi kuwa mlevi,mraibu wa drugs,kichaa,mwizi, halafu wazazi wakupende never
Hujawai kuona mtoto anaiba anapeleka nyumbani na mama anajua kazi ya mtoto wake?Hauwezi kuwa mlevi,mraibu wa drugs,kichaa,mwizi, halafu wazazi wakupende never
Unaweza Kuta huyo ndy mtoto wako halafu hao wengine ndy watoto wa jirani zako.Mimi binafsi kati ya watoto wangu watatu katika mama tofauti. Mtoto mmoja ninampenda sanaa kuliko wengine sababu alizaliwa na mwanamke ambaye nilimpenda sana basi automatically nikajikuta kumpenda sana mtoto. Wale wengine ndio hivyo tu kwasababu wananiita baba.
Kweli kabisa mzee. Hata afanye nini bado atapendwa tuu.Tajiri kila familia ina mtoto pendwa bila kujali yukoje! Kuna mtoto anakuwa pasua kichwa lakini ndio anakuwa kipenzi cha baba au mama. Inatokea tuu. Hata afanye msala gani, bimkubwa au mshua atasolve huo msala.
Atapewa hiki anaharibu, anapewa kingine, huwa tunawaitq watoto wa mama. Akiguswa tuu mama anawaka.
Ipo sana hii na hata akikamatwa mama yake anamtetea na kusimama nae sana.Hujawai kuona mtoto anaiba anapeleka nyumbani na mama anajua kazi ya mtoto wake?
Wanajua wazi hata kama mzazi hata sema.Hii ni kwasababu akina baba huwa mnawanyanyapaa watoto wa hivyo hivyo mama inabidi ndio awe faraja kwao.
Hakika. Na hakuna mzazi huwa anakubali hili ila hata watoto wanakuwa wanajua nani anapendwa zaidi.
🥺Huko sahihi, tulitengana baada ya mimi kubadili tabia na kuwa si yule niliyemvutiaga akanipenda.
Kwamba hadi kamechukua nafasi ya ba mjengo? 😊Kiukweli haka kadogo nahisi kapo katikati ya moyo kamejaa kakafunika pote sijui nimehangaika sana kukapata baada ya miaka mingi ,au kwa sababu bado kadogo
Kuna mtoto wa michepuko mara nyingi mama yake huficha hisia huko.Sijui kama na wewe umeona, nimekuwa nikichunguza familia nyingi unakuta wazazi hasa wamama kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine.
Nachakushangaza zaidi sio kwamba ni kwa sababu ana mafanikio kiuchumi au tabia njema hapana ila unakuta huyo ndio anapendwa zaidi kuliko hata wale wenye tabia njema na uchumi mzuri.
Nisimalize yote nadhani na nyie mna mengi na mifano mingi zaidi ya kueleza.
watoto mayaiTajiri kila familia ina mtoto pendwa bila kujali yukoje! Kuna mtoto anakuwa pasua kichwa lakini ndio anakuwa kipenzi cha baba au mama. Inatokea tuu. Hata afanye msala gani, bimkubwa au mshua atasolve huo msala.
Atapewa hiki anaharibu, anapewa kingine, huwa tunawaitq watoto wa mama. Akiguswa tuu mama anawaka.
Anaficha hisia za mchepuko wake auKuna mtoto wa michepuko mara nyingi mama yake huficha hisia huko.
Lisemwalo lipo😄Unaweza Kuta huyo ndy mtoto wako halafu hao wengine ndy watoto wa jilani zako.
Natania mkuu usinitukane