Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

Ila usije sema ile kauli ya usioe single mother๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wewe kama unaoa wewe wachukue tu ila binafsi siwezi jaribu kuingia kwenye huo mtego wa kuoa single mother.
Nna sister yangu ni single mother Tena wakujitakia waliambiana na mwenzie ngoja nibebe mimba ili nione kama hawatokukubari kikamramba jamaa akamkimbia.
Then Leo nimeitwa kwenye kupokea mahari Kwa mtu mwengine aliekuja kumuoa. Aseeh nkakataa nikawaambia nyie endeleeeni tu Mimi siwezi kuja kumuumiza mtu Kwasababu najua huyo jamaa atalia tu iwe isiwe.
Wewe sikukatazi kuoa kama unataka Owa na Wala siwezi kuingilia Wala kuanzisha kampeni hio ila binafsi siwezi kuoa single mother.
 
Tumezaliwa watatu kwetu wa kiume wawili wakike mmoja ambaye ndiyo dadaangu Baba anampenda sana huyu wakike na mama anampenda sana huyu mdogo wangu wanajitahidi za kuficha ila upendo ni upendo tu huwezi kuuficha
 
Dah umebaki pekee yako kaka. Ni kweli upendo huwezi kuuficha hata kidogo.
 
Hujanielewa mimi ndio nimeachana na mwanamke ambaye nimezaa nae kwa makosa yangu, lakini ameolewa na mtu mwingine ila huwa nikimuhitaji na kama kifedha nakuwa vizuri huwa naruka nae.
 
Nimekusoma mara kadhaa, una kituโ€ฆ..!
 
Kama hutojali, kwenu ni wangapi kuzaliwa.
 
Naunga mkono hoja.
 
Umeona kitu gani kwa sister hadi ukakataa kushiriki hiyo 'jinai'? Ba mtoto bado anastua?
 
Hujanielewa mimi ndio nimeachana na mwanamke ambaye nimezaa nae kwa makosa yangu, lakini ameolewa na mtu mwingine ila huwa nikimuhitaji na kama kifedha nakuwa vizuri huwa naruka nae.
๐Ÿ˜„
Then akakufungia kioo mazima?
Mchawi fedha tu.. ๐Ÿ˜„ nikiziipatq simu 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ