Nini kinazuia watu wenye asili za asia kupata nafasi serikalini?

Asilimia kubwa wanapenda sana kufanya shughuli zao na hasa biashara kwa kua ndiyo asili yao
 
Wengi wao hupendelea siasa zaidi.Hizo kazi za kutota jasho,kupigana majungu,kulogana na kuishi kihasidi mnazoziita ajira hawana muda nazo.Wao ni biashara zaidi na wakitaka kujumuika huingia kwenye siasa/pesa nyingi na ulinzi/heshima ya kutosha bila kutota jasho.
 
..sera mbaya za uchumi za Ccm ndio chanzo cha wazawa kuwa chini kiuchumi ukilinganisha na wageni.
 

..kwa hiyo hata kwenye uchangudoa wao wanapata bei kubwa kuliko wazawa.

..biashara wao wanafanya kubwakubwa kuliko wazawa.

..inabidi wazawa tujichunguze tumekosea wapi.
 
Hao jamaa ni wazalendo na wapiga kazi kuliko sisi wazawa
 
Ingia upanga, masaki serikali za mitaa, udiwani ubunge utawaona huko ilala, kinondoni

Nenda morogoro utakutana nao nk

Wapo pia katika baadhi ya halmashauri na taasisi kadhaa

Nenda kigoma Kuna taasisi yupo pale IT kama sikosei
Upanga napajua vizuri Magharibi Diwani ni Adinani Kondo,na alimrith Godwin Mbanga ,Mashariki ni Beatrice Nyamisango,ni liowaona Wa asili hiyo ni Azimkhan Akbar wa Kibukoni ,na ni yule wa mchikichini kama sijakosea sijaona Balozi wala mjumbe huko wa asili hiyo,na ukimuona kapenya huko kuna lake anafanikisha kibiashara
 
Nini kinazuia watz wenye asili ya asia kuishi kimara?
 
Upeo wako Mdogo sana,logic ya swali ,na jibu lililotilewa kutokana na post umeshindwa kuelewa.

Mada ni Wahindi,waasia kutoteuliwa.

We Dada sio kila mada,uzi unaparamia tu, akili za kuvukia barabara haziwezi kujibu wala kuelewa.
 
Upeo wako Mdogo sana,logic ya swali ,na jibu lililotilewa kutokana na post umeshindwa kuelewa.

Mada ni Wahindi,waasia kutoteuliwa.

We Dada sio kila mada,uzi unaparamia tu, akili za kuvukia barabara haziwezi kujibu wala kuelewa.
Dada ndo umeparamia Uzi ila kwakuwa wewe ni kilaza hujalingundua Hilo ukisoma tena Uzi utagundua jinsi gani ubongo wako unavyosuasua kuelewa mada
 
Na huko Asia mambo yakoje juu ya wenye asili ya Africa/ Tanzania?
 
Na huko Asia mambo yakoje juu ya wenye asili ya Africa/ Tanzania?
Labda ufanye kazi katika ofisi zao na makampuni yao ni sawa hata cheo utapata.
Ila serikalini BIG NO kwa Asia upate uongozi na wewe kutoka Afrika!?
Labda uwe umechanganya asili au uwe umetoka kwa kina Hakimi(Morocco).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…