The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Kuna mtu sio mlowezi tanzania nje ya wagogoHao ni walowezi wa kiarabu ndani ya Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu sio mlowezi tanzania nje ya wagogoHao ni walowezi wa kiarabu ndani ya Tanzania.
Asilimia kubwa wanapenda sana kufanya shughuli zao na hasa biashara kwa kua ndiyo asili yaoWakuu,
Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.
Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,
Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,
Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.
Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Huyo Tulia ni wenge la kukutana na wazungu wengi kwa wakati mmoja, alikuwa na kitete cha kujihami sababu alishindwa kujitetea.
Turudi, huku
Machangudoa wa kihindi walikuwepo sana miaka ile, ila kwenye mahoteli makubwa kama Kilimanjaro na Aficana na New Africa
Hata sasa wapo lakini ni wa bei ya juu, nenda tovuti ExoticTanzania utawakuta tu, lakini malipo ni dolari
MsomaliBashe ni MWARABU KOKO au MBANTU ALIYECHANGAMKA?
Hao jamaa ni wazalendo na wapiga kazi kuliko sisi wazawaWakuu,
Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.
Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,
Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,
Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.
Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Upanga napajua vizuri Magharibi Diwani ni Adinani Kondo,na alimrith Godwin Mbanga ,Mashariki ni Beatrice Nyamisango,ni liowaona Wa asili hiyo ni Azimkhan Akbar wa Kibukoni ,na ni yule wa mchikichini kama sijakosea sijaona Balozi wala mjumbe huko wa asili hiyo,na ukimuona kapenya huko kuna lake anafanikisha kibiasharaIngia upanga, masaki serikali za mitaa, udiwani ubunge utawaona huko ilala, kinondoni
Nenda morogoro utakutana nao nk
Wapo pia katika baadhi ya halmashauri na taasisi kadhaa
Nenda kigoma Kuna taasisi yupo pale IT kama sikosei
Nini kinazuia watz wenye asili ya asia kuishi kimara?Wakuu,
Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.
Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,
Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,
Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.
Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Upeo wako Mdogo sana,logic ya swali ,na jibu lililotilewa kutokana na post umeshindwa kuelewa.Ushamba tu mwingi, kwanini sasa Mtanzania awe Na position India? Hapa mada inahusu WaTanzania wenye Asili ya India na sio wahindi wa India.
Anyway watu weusi Wenye Asili ya Africa India wanaitwa Siddi na wapo wengi Na wana Historia kubwa.
Mfano Shantram siddi.
View attachment 3132126
Dada ndo umeparamia Uzi ila kwakuwa wewe ni kilaza hujalingundua Hilo ukisoma tena Uzi utagundua jinsi gani ubongo wako unavyosuasua kuelewa madaUpeo wako Mdogo sana,logic ya swali ,na jibu lililotilewa kutokana na post umeshindwa kuelewa.
Mada ni Wahindi,waasia kutoteuliwa.
We Dada sio kila mada,uzi unaparamia tu, akili za kuvukia barabara haziwezi kujibu wala kuelewa.
Bashe asili yake ni Somalia,
Nazungumzia watu type ya Rostam Aziz,. Ahmed Shabiby, Mohammed Dewji
Msomali.Bashe ni MWARABU KOKO au MBANTU ALIYECHANGAMKA?
Zamani alikuwepo waziri Amir Jamal, waziri Zakhia Megji.Hujafuatilia tu.
Shabibi mbona ni mbunge Dodoma.
Abood alikua mbunge Morogoro.
Marehemu Yusuf Manji alikua Diwani Mbagala.
Na huko Asia mambo yakoje juu ya wenye asili ya Africa/ Tanzania?Wakuu,
Hili suala limenitafakarisha. Nchi hii ina watu wengi wenye asili ya Asia , wengi Sana.
Ajabu ni nadra kukuta kiongozi serikalin ni wa jamii hizo. Je watu hawa hawana elimu au nin sababu mpaka hakuna waziri wala naibu waziri mwenye asili ya Asia,
Hakuna Katibu mkuu wala naibu Katibu mkuu,
Hakuna mkuu wa mkoa wala Mkuu wa Wilaya,, hakuna mkurugenzi wa halmashaur wala taasis yoyote.
Je watu hawa hawateulik? Wakina Kanjibahi wanaonekana kupata mafanikio binafsi hasa katika biashara.
Labda ufanye kazi katika ofisi zao na makampuni yao ni sawa hata cheo utapata.Na huko Asia mambo yakoje juu ya wenye asili ya Africa/ Tanzania?
Huyu shabiby ni mpale au muha?Abdulrahmman Kinana
Hussein Bashe
Sijui nani yule Zungu