Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Acha ujinga kiraza, jiulize kwanini walificha picha ya mtu waliomuua na kumtangaza kuwa ni OSAMA?Tusubili ndani, ya, saa, 72,zijazo,
Gaza, will never be the same again. Kama Mbabe Osama aliuliwa, kama kuku, na Arabs mpaka Leo hawajuhi, kabuli lake, subili tuone mtoto wa mama, mkubwa atakavyomfanya mtoto wa mama mdogo.
Hii vita hawawezi kushinda.Ficha ujinga. Unataka wapalestina waunde vyama vibaraka wa magharibi? Unafikiri wapalestina hawaomi unyama wanaofanyiwa na Israel? Nani kakudanganya amani ya kweri huwa inaombwa?
[emoji7][emoji7][emoji2956][emoji2956][emoji120][emoji120]AMANI UPENDO na UMOJA ni TUNU Ndugu zangu Watanzania.
Mungu amechukizwa na Israel kwa kuwa wamemgeukia shetani. Juzi juzi wamepitisha sheria ya mashoga. Wamerudi kulekule kwa Sodoma na Gommorrah. Waache wapigwe tuIsrael imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.
Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara kwamba dola zote duniani zinapaswa kuanza kutathimini hali za amani kwenye maeneo yao.
Ugaidi siyo jambo linalotumia miaka kufanyika ila utumia sekunde kuvuruga nchi. Israel imevamiwa, ofcos watalipa kisasi kwa kuwaua raia lakini lazima wapo watu watawajibishwa kwa kutotimiza wajibu wao.
Kibaya zaidi ni kwamba wanajeshi na Raia wa Israel wamechukuliwa mateka. Kuchukua Raia na wanajeshi mateka kunaihakikishia Palestina ushindi kwani wanaweza kutumia mateka kumfanya Israel arudishe mashambulizi nyuma.
Suala ili lina muunganiko na imani hasa huku Afrika na Tanzania. Je ndani ya Imani unaamini kati ya Israel na Palestina nani achapwe? Katika tafakuri ya wazi unaamini nani mchokozi kati ya mataifa haya mawili?
Mwisho; Tanzania tukawatoe watu wetu kwenye mataifa haya mapema.l
Kudadeki zako. Wapo vizuri kwenye ushushu. Kwa hiyo, Israel ni mjinga kukusudia kupoteza idadi ile ya watu, kwa lengo lolote? La hasha! Hivi, labda uulize waliowahi au waliopo jeshini.Hii Dunia sio ya kuiamini wewe fanya maisha yako maisha yaendelee tuu....hujuia walijua wakapiga kimya wafanye wanachotaka au hawakujua
amini hao jamaa na nduguze Marekani wako vizuri sana kwenye ushushu.
Nani kakuambia wanataka kushHii vita hawawezi kushinda.
Nani kakuambia wanataka kushinda vita, unafikili Hamasi hawajui nguvu ya Israel na sapati wanayiopata toka magharibi?Hii vita hawawezi kushinda.
Hamas wanaenda kufutwa kama Grupu na huenda grupu lingine litaundwa badala yake.Nani kakuambia wanataka kush
Nani kakuambia wanataka kushinda vita, unafikili Hamasi hawajui nguvu ya Israel na sapati wanayiopata toka magharibi?
Hapo Hamasi walikuwa wanatuma ujumbe kwa dunia kwamba sehemu yenye dhuruma msitegemee kuwa na amani
Haya kakojoe ulaleHamas wanaenda kufutwa kama Grupu na huenda grupu lingine litaundwa badala yake.
Huyo ana mawazo ya kichadema na mwamba wao!Ficha ujinga. Unataka wapalestina waunde vyama vibaraka wa magharibi? Unafikiri wapalestina hawaomi unyama wanaofanyiwa na Israel? Nani kakudanganya amani ya kweri huwa inaombwa?
Wewe sangoma hapo Chadema inaingiaje?Huyo ana mawazo ya kichadema na mwamba wao!
Heshima yako mkuu!Namshukuru Mwenyezi Mungu kuzaliwa Tanzania ardhi ya Ngorongoro aliyoshushiwa baba yetu Adam(A.S).....
Tanzania ni patakatifu zaidi ya Israel na Palestine.....
Waambie Wayahudi na wapalestina kuwa ardhi zao si salama zaidi ya huku atokako Nabii Adam(A.S)... .
Si leo wala kesho ila iko siku vizazi vyao vitafanya EXODUS kurudi Ngorongoro Crater[emoji120]
#Tanzania Pepo Ya Dunia[emoji120]
#Anayetaka Kuuvunja Muungano Wa SMT avunjike mgongo aaamin aaaamin aaaaamin [emoji120][emoji120][emoji120]
#YetzerHatov[emoji120]
#Siempre JMT[emoji120]
Israel wamedratize ili kutengeneza uhalali machoni pa dunia wa kuwachapa wapalestina. Hil siyo geni kutokea , ngoja niwkumbushe:-Hii Dunia sio ya kuiamini wewe fanya maisha yako maisha yaendelee tuu....hujuia walijua wakapiga kimya wafanye wanachotaka au hawakujua
amini hao jamaa na nduguze Marekani wako vizuri sana kwenye ushushu.
In short unashangilia upumbavu!MOSSAD na CIA na mbwembwe zooote HAWAKUAMINI kilichotokea...Mae zao.
Kula sana rocket za kitisha aisee Iron Dome imeambulia mikojo ahahahaha. Hii ni aibu ya karne
Msiwape kichwa Hamas kitendo walichokifanya cha uchokozi wa wazi nauhakika Netanyahu atajibu mapigo na watalia na kuomba jumuia ya kimataifa waingilie Kati na walaani huku wakisahau wao ndio waanzishajiIsrael imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.
Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara kwamba dola zote duniani zinapaswa kuanza kutathimini hali za amani kwenye maeneo yao.
Ugaidi siyo jambo linalotumia miaka kufanyika ila utumia sekunde kuvuruga nchi. Israel imevamiwa, ofcos watalipa kisasi kwa kuwaua raia lakini lazima wapo watu watawajibishwa kwa kutotimiza wajibu wao.
Kibaya zaidi ni kwamba wanajeshi na Raia wa Israel wamechukuliwa mateka. Kuchukua Raia na wanajeshi mateka kunaihakikishia Palestina ushindi kwani wanaweza kutumia mateka kumfanya Israel arudishe mashambulizi nyuma.
Suala ili lina muunganiko na imani hasa huku Afrika na Tanzania. Je ndani ya Imani unaamini kati ya Israel na Palestina nani achapwe? Katika tafakuri ya wazi unaamini nani mchokozi kati ya mataifa haya mawili?
Mwisho; Tanzania tukawatoe watu wetu kwenye mataifa haya mapema.l
Tunadanganywa sana na documentary zao kuwa wapo makini ki upelelezi na kung'amua jambo linalotaka kutokea, inakuaje watu wanaanda mashambulizi ya vifaa kwa uwingi ule bila kujua na technolojia wanazojisifu nazoMOSSAD na CIA na mbwembwe zooote HAWAKUAMINI kilichotokea...Mae zao.
Kula sana rocket za kitisha aisee Iron Dome imeambulia mikojo ahahahaha. Hii ni aibu ya karne
Ficha ujinga. Unataka wapalestina waunde vyama vibaraka wa magharibi? Unafikiri wapalestina hawaomi unyama wanaofanyiwa na Israel? Nani kakudanganya amani ya kweri huwa inaombwa?