Sasa badala apambane kwenye medani ww unashambulia majengo hovyo hovyo tu kwani majengo yana pigana hiyo ni dalili za mtu aliye shindwa.Kawajibu haswa kuna magorofa zaidi ya 800 yameshafanywa kifusi. Na aliapa kuwa kitachotokea hawatakisahau
Utajuaje sasa kama jamaa wameruhusu ili wapate sababu ya kuingia Gaza? Hii Dunia haiko kama tunavyoiona. Yale mashambulizi ya September 11 pale marekan unajua watoto wa mjini waliseti wakapata sababu ya kuvamia Iraq Afghanistan nk. Wakati mwingine hiv vyombo vinafanya kaz kinyume. Ingawaje pia kuna kuzidiwa.
Inafikirisha piaMi naamini ili ijitanue bila kupigiwa kelele lazima wakubali watu wao wauliwe.
Haikuwa intelligence failure bali wameacha iwe hivyo ili wajitanue zaidi
Israel hawezi kushindwa Hilo nakuhakikishiaSasa badala apambane kwenye medani ww unashambulia majengo hovyo hovyo tu kwani majengo yana pigana hiyo ni dalili za mtu aliye shindwa.
Kuna mtu anasema hapa mpk sshv Israel haijafanikiwa Chochote🤭Uko sahihi Mossad walikua na taarifa zote waliachwa wachozwe ili wapate uhalali ya kuipiga Hammas, Hesbolah na Gaza na wamefanikiwa Gaza itachazwa vibaya siku 5 mpaka 7 zijazo
Sent from my SM-G950U1 using JamiiForums mobile app
Hata bila kupgana wanayapoteza tu.We wenzako wanakufa na kupoteza makazi we wafurahia
Kwani mkuu hii ni mara ya kwanza Israel kupigana na Hamas?Israel hawezi kushindwa Hilo nakuhakikishia
Ila acha tuendelee kusubiri hapa ..
Aliwahi kushindwa?Kwani mkuu hii ni mara ya kwanza Israel kupigana na Hamas?
Wanahusika sana maana wamejaa sana masharik ya Kati na Wana Kambi nyingi maeneo hayo.CIA ina husikaje kwenye hiyo ishu?
Mbwa tu...hawana loloteNa wanajisifugi wanaabadilishana taarifa mara kwa mara ...
Watu wanakufa huko we unaleta ushabikiAcha watu wajitie moyo
Mi neno langu Moja nasubiri nione meisho wake ndo tutaelewa ni mapema sn....
Kwahiyo sahivi ndo mmeona watu wanakufa kisa Israel kujibu mashambulizi?Watu wanakufa huko we unaleta ushabiki
Una akili timamu kweli?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu hili jambo linaleta ukakasi sana. Intelligence ya Mossad ilishindwa kung'amua hii attack? Au kama ulivyosema wamekausha ili wafanye yao( mass destruction) pale Gaza lakini naona kabisa Iran ana baraka zote kwa dogo muda utaongea tuone.Na Hezbollah naye kaanza kufungua barracks zake Netanyahu ana hali gani huko jamani?!!Hii Dunia sio ya kuiamini wewe fanya maisha yako maisha yaendelee tuu....hujuia walijua wakapiga kimya wafanye wanachotaka au hawakujua
amini hao jamaa na nduguze Marekani wako vizuri sana kwenye ushushu.
kaomba mzigo USA.Ka
Kabisa mkuu hili jambo linaleta ukakasi sana. Intelligence ya Mossad ilishindwa kung'amua hii attack? Au kama ulivyosema wamekausha ili wafanye yao( mass destruction) pale Gaza lakini naona kabisa Iran ana baraka zote kwa dogo muda utaongea tuone.Na Hezbollah naye kaanza kufungua barracks zake Netanyahu ana hali gani huko jamani?!!
Iran kagoma jmn labda km kageuka sahivi usiku!Ka
Kabisa mkuu hili jambo linaleta ukakasi sana. Intelligence ya Mossad ilishindwa kung'amua hii attack? Au kama ulivyosema wamekausha ili wafanye yao( mass destruction) pale Gaza lakini naona kabisa Iran ana baraka zote kwa dogo muda utaongea tuone.Na Hezbollah naye kaanza kufungua barracks zake Netanyahu ana hali gani huko jamani?!!
Kwani Osama yuko hai?Acha ujinga kiraza, jiulize kwanini walificha picha ya mtu waliomuua na kumtangaza kuwa ni OSAMA?
Aina yawatu ndio sababu yahii amani tz kama hakutakua namashambuliz kutoka nje yamipaka yanchi bhas tz itakaa nahii aman mpaka mwisho wadunia nahii haijalishi tutanyanyasika kias gan ndan yanchiAMANI UPENDO na UMOJA ni TUNU Ndugu zangu Watanzania.
Mnaokula cake yanchi mnambwembwe kama umepata kaupenyo kakula kula taratibNamshukuru Mwenyezi Mungu kuzaliwa Tanzania ardhi ya Ngorongoro aliyoshushiwa baba yetu Adam(A.S).....
Tanzania ni patakatifu zaidi ya Israel na Palestine.....
Waambie Wayahudi na wapalestina kuwa ardhi zao si salama zaidi ya huku atokako Nabii Adam(A.S)... .
Si leo wala kesho ila iko siku vizazi vyao vitafanya EXODUS kurudi Ngorongoro Crater[emoji120]
#Tanzania Pepo Ya Dunia[emoji120]
#Anayetaka Kuuvunja Muungano Wa SMT avunjike mgongo aaamin aaaamin aaaaamin [emoji120][emoji120][emoji120]
#YetzerHatov[emoji120]
#Siempre JMT[emoji120]
Nachelea kusema huna akili, taifa la wazayuni uhai wa mtu wao nimuhim kuliko chochote mwaka 2006 waliachilia mateka mia 3 ilikubadilishana nakijana wao mmoja tu, et leo unasema wameamua watu wao zaid ya mia 7 nawanajesh wakiwemo kuuwawaIsrael wamedratize ili kutengeneza uhalali machoni pa dunia wa kuwachapa wapalestina. Hil siyo geni kutokea , ngoja niwkumbushe:-
1. Nyerere alidramatize kuwa wanajeshi wa Uganda wameivamia Kagera ili amchape Idd Amini.
2. Rais Edogan Tayyip wa Uturuki alidramatize mapinduzi ili amshughulikie mpinzani wake mkuu kisiasa (mmiliki wa Feza Schools) aliyekuwa anamtishia yeye kuipata awamu ya pili.
Hapo Israel imefanikiwa kuipata sababu ya kuichapa Palestine na itachapika kweli kweli.