Nini maoni yako kuhusu vita ya Palestina na Israel? Bado unaamini Israel ina intelijensia kubwa Duniani?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.

Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara kwamba dola zote duniani zinapaswa kuanza kutathimini hali za amani kwenye maeneo yao.

Ugaidi siyo jambo linalotumia miaka kufanyika ila utumia sekunde kuvuruga nchi. Israel imevamiwa, ofcos watalipa kisasi kwa kuwaua raia lakini lazima wapo watu watawajibishwa kwa kutotimiza wajibu wao.

Kibaya zaidi ni kwamba wanajeshi na Raia wa Israel wamechukuliwa mateka. Kuchukua Raia na wanajeshi mateka kunaihakikishia Palestina ushindi kwani wanaweza kutumia mateka kumfanya Israel arudishe mashambulizi nyuma.

Suala ili lina muunganiko na imani hasa huku Afrika na Tanzania. Je ndani ya Imani unaamini kati ya Israel na Palestina nani achapwe? Katika tafakuri ya wazi unaamini nani mchokozi kati ya mataifa haya mawili?

Mwisho; Tanzania tukawatoe watu wetu kwenye mataifa haya mapema.l
 
Vita ni kitu kibaya popote pale kwa sababu siku zote wanaopata matatizo ni wale innocent’s !!
Tuombe Mungu hii vita iishe haraka !!
 
Lakini Wananchi wa Gaza wasikubali tena kutawaliwa na Hamas waanzishe vyama vitakavyoweka Dialogue mbele kuliko Ugaidi na kuingiliwa na Iran kwenye mambo yao.
 
Ficha ujinga. Unataka wapalestina waunde vyama vibaraka wa magharibi? Unafikiri wapalestina hawaomi unyama wanaofanyiwa na Israel? Nani kakudanganya amani ya kweri huwa inaombwa?
 
Israel imehtukizwa na kupewa kichapo cha 5-1 ndani ya masaa 24. Inshort intelijensia yao haikungamua uwepo wa mashambulizi haya. Hata mataifa makubwa awakutegemea kusikia kilichotokea.

Kwa kichapo kilichotokea maana yake Dunia haipo salama dhidi ya mashambulizi ya kulipiza kisasa. Ni ishara kwamba dola zote duniani zinapaswa kuanza kutathimini hali za amani kwenye maeneo yao.

Ugaidi siyo jambo linalotumia miaka kufanyika ila utumia sekunde kuvuruga nchi. Israel imevamiwa, ofcos watalipa kisasi kwa kuwaua raia lakini lazima wapo watu watawajibishwa kwa kutotimiza wajibu wao.

Kibaya zaidi ni kwamba wanajeshi na Raia wa Israel wamechukuliwa mateka. Kuchukua Raia na wanajeshi mateka kunaihakikishia Palestina ushindi kwani wanaweza kutumia mateka kumfanya Israel arudishe mashambulizi nyuma.

Suala ili lina muunganiko na imani hasa huku Afrika na Tanzania. Je ndani ya Imani unaamini kati ya Israel na Palestina nani achapwe? Katika tafakuri ya wazi unaamini nani mchokozi kati ya mataifa haya mawili?

Mwisho; Tanzania tukawatoe watu wetu kwenye mataifa haya mapema.l
Wakungutwe tu watoke kwenye makazi ya watu. Go hezbollah, no matter the outcome ila moto mmeuwasha
 
Utajuaje sasa kama jamaa wameruhusu ili wapate sababu ya kuingia Gaza? Hii Dunia haiko kama tunavyoiona. Yale mashambulizi ya September 11 pale marekan unajua watoto wa mjini waliseti wakapata sababu ya kuvamia Iraq Afghanistan nk. Wakati mwingine hiv vyombo vinafanya kaz kinyume. Ingawaje pia kuna kuzidiwa.
 
Huu sio mpira wa Ulaya wala Simba na Yanga na kuanza kuuliza maswali ya kitoto
Yanayoendelea leo ni muendelezo wa uonezi na uvamizi wa mara kwa mara wa wayahudi na kila mmoja analiona kama ni binadamu timamu
Nyerere alikataa haya mambo na akaweka wazi msimamo wa Tz kwa Israel
Leo wamekufa watu wengi na wanaendelea kufa na sisi sio wa kufurahia

Vita sio mchezo wa kushabikia
 
Tusubili ndani ya saa 72 zijazo, Gaza, will never be the same again. Kama Mbabe Osama aliuliwa, kama kuku, na Arabs mpaka Leo hawajuhi, kabuli lake, subili tuone mtoto wa mama, mkubwa atakavyomfanya mtoto wa mama mdogo.
 
Utajuaje sasa kama jamaa wameruhusu ili wapate sababu ya kuingia Gaza? Hii Dunia haiko kama tunavyoiona. Yale mashambulizi ya September 11 pale marekan unajua watoto wa mjini waliseti wakapata sababu ya kuvamia Iraq Afghanistan nk. Wakati mwingine hiv vyombo vinafanya kaz kinyume. Ingawaje pia kuna kuzidiwa.
Mzee wa kukariri upo kazini. Usisahau ya kuwa sio kila siku ni ijumaa
 
Kabla hata sijasoma ujumbe wako,kuna mawili. Kama si nchi imeuzwa, basi ujanja wa Israel cha mtoto
 
Back
Top Bottom