Kawaida tu, msikuze mambo.Dah,
Siyo ukaidi bhana, sema kwa kuwa wewe ni Ke huwezi kuelewa, kut*mbewa kunatisha, ni jambo baya mno
Unachokitafuta, utakipata. Tulia lea wanao.Me naomba kuuliza
Kwani ukitaka kupima DNA ni lazima na mama ahusike?
Kweli kabisa.Sema kweli
Duh!Kawaida tu, msikuze mambo.
Wee mrembo utamtesa sana shemeji yetu bila shakaKawaida tu, msikuze mambo.
Kwahyo unahalalisha kuchapiwaKweli kabisa.
Labda kama unafuatilia sana maswala ya kisayansi. Ila US kuna vuguvugu la sheria ya Mandatory DNA test, yaani mtoto akizaliwa baba kabla ya kusaini cheti za kuzaliwa ,wanatakiwa wacheki DNA kama mtoto ni wa kwakwe. Hii mijadala ipo kwenye Podcasts nyingi za maswala ya kijamii, vipindi vya televison wanalizungumzia sana,hili tatizo la dunia nzima.Waafrika acheni kuhangaika na mambo yasio na tija karne hii ambapo wenzenu wanahangaika kwenda mwezini, Mars, kutengeneza AI na Robotics
Shukuru kwa hata hicho kidogo na vikubwa utaongezewa.Sawa kutombewa ni kawaida
Lakini kulea watoto ambao sio wako miaka yote na kumbe hujawahi kuwa na mtoto duniani hapa, sio jambo la kawaida
Hapana! Ila ikitokea usipaniki.Kwahyo unahalalisha kuchapiwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sanaaa, huyo jamaa Angela hivi viatu visingemtosha!!
mtoto hata mmojaUnachokitafuta, utakipata. Tulia lea wanao.
Acha kututegea mkuu. Hii dunia inatakiwa ijae.Sina
mtoto hata mmoja
Anaetaka uthibitisho kwamba analea mtoto ambae ni wa kwake, athibitishe. Anaetaka kwenda mars, aende.Waafrika acheni kuhangaika na mambo yasio na tija karne hii ambapo wenzenu wanahangaika kwenda mwezini, Mars, kutengeneza AI na Robotics
Kwa Tanzania mchakato wa kupima DNA lazima upitie ustawi wa jamii na mahakamani kwanza kwahiyo mama mtoto atajulishwa tu.Me naomba kuuliza
Kwani ukitaka kupima DNA ni lazima na mama ahusike?
Ili kuepuka kulea watoto ambao sio wako, suluhisho ni moja tu. Unapswa kuwachukulia watoto wote wa mke wako kama watoto wako, bila kujali kama huenda alizalishwa nje ya ndoa au la. Ukifanya hivyo, utaishi kwa amani na raha sana hapa duniani mkuu.Kuna hili suala nafikiria mara mbilimbili.
Mwanaume aliyelea watoto na kuwasomesha halafu mwisho wa siku anakuja kugundua watoto hao sio wake, kumbe mke alisha cheat tangu zamani, sipati picha atajisikiaje. Kivyovyote vile hiyo feeling itakuwa ni mbaya kuliko hata kuumwa
Now, huwezi kulaumu watoto, kosa sio lao, lakini unaweza kumlaumu mwanamke kwa kutokukuambia, labda kwa hofu kuwa ungemuacha, ila miaka imepita umeshatumia ujana wako kuwalea hao watoto, ila kiuhalisia wewe huna chako hapa duniani. Labda ulikuwa unatamani ulete chata yako hapa duniani na umri umeshaenda tayari, mwanamke amekupotezea muda wako mwingi
Sasa kuepuka haya yote, unapaswa kufanyaje?
Watu wanasema oa mwanamke anayejiheshimu, na unayemuamini. Wewe utajuaje kama huyu anaaminika? Unaweza kumuamini 100% kwa sababu anakuigizia kukupenda au huenda ni mtu mwema outside ila ndani yake huwezi kujua. Kuna watu wengi tu waliwaamini wapenzi wao na mwisho wa siku wakaja kuwa cheated, sio kingono tu bali hadi kulea watoto ambao sio wa kwao, huku baba yao halisi yupo somewhere anakula maisha, probably anaendelea kupelekea moto wake za watu
Na pia nikifikiria kama ukitaka kupima DNA kwa kila mtoto atakayezaliwa, mke wako ataanza kuhisi haumuamini, itapunguza kuaminiana kwenye ndoa
Je unapaswa kufanya nini kuzuia kulea mtoto ambao sio wako, maana nikifikiria naona ni kitu cha kutisha mno
Kwa uzoefu wangu kwenye hii mijadala wanawake huwa wanapenda sana comment kama hizi.Ili kuepuka kulea watoto ambao sio wako, suluhisho ni moja tu. Unapswa kuwachukulia watoto wote wa mke wako kama watoto wako, bila kujali kama huenda alizalishwa nje ya ndoa au la. Ukifanya hivyo, utaishi kwa amani na raha sana hapa duniani mkuu.