Daa nimecheka aseeWazazi wangu wote walikuwa hawanywi pombe, sijawahi kuwa na mtu wa karibu anayekunywa pombe, na pia sijawahi kutamani kunywa pombe. Wakati niko advance kuna wanafunzi walikuwa wanaruka ukuta wanarudi na Konyagi, nilimuomba jamaa mmoja kizibo cha Konyagi nionje, aisee sijawahi kunywa kitu kichungu na kikali kama kile na ilikuwa kifuniko kimoja tu.
Hadi leo sijawahi kupenda pombe na ni starehe ambayo nimeacha wawe wanaenjoy watu wengine. Sitaki kuwa mmoja wapo
Hivi mtu ukinywa bia unaelewa kweli.!? π€Bia zote ni tamu isipokuwa Balimi huwa inakufanya unakuwa mzito halafu zinaondoa appetite
Huyu nae mdau
Ndiyo, sijawahi kuandikia nikiwa nimetumia kilevi chochote.Kwahiyo hizi Uzi zako za Kunyegesha wana JF huwa unaziandika ukiwa Sober? ππππ.
Siyo tu sigusi, hata ladha yake siipendi, sijawahi kuweza kunywa bia maisha yangu yote.Ww usiguse Pombe aisee ππππ
Doh hili limenishangaza kwakweli.
Usiguse kabisa, pombe sio nzuri ndio maana tunafanya bidii tuzinywe ziishe kizazi kinachokuja kisiathirike .Ndiyo, sijawahi kuandikia nikiwa nimetumia kilevi chochote.
Ila ile high nakua nayo baada ya kuzamuliwa vizuri, hakuna cha kuifikia aiseeh!
Siyo tu sigusi, hata ladha yake siipendi, sijawahi kuweza kunywa bia maisha yangu yote.
siku ukiwa Na bia Kichwan alaf ukanyanduliwa . Utajuta kwann hukuijua mapema πππIla ile high nakua nayo baada ya kuzamuliwa vizuri,
Kuna Vibia vina taste nzur sana..actually ni Soda.hata ladha yake siipendi, sijawahi kuweza kunywa bia maisha yangu yote.
Unakunywa ukilewa unaanza kuwonea huruma wenye pombe nusu chupa mpe mpe mpe mpe mpe mpeUnakuta ulifanyia nini 80k local bia si unakufa kabisa?
DahUnakunywa ukilewa unaanza kuwonea huruma wenye pombe nusu chupa mpe mpe mpe mpe mpe mpe
Ni wanywa pombe tuNa wale wa "nakunywa wine tu" wamejumuishwa kwenye hesabu ya wasiokunywaπππ
Mmm pombe Bana mi siipendi maana ni starehe isiyo na faida imagine anakunywa kwa furaha ili kuingia unaanza kusumbua wengine pia nimewahi kuishi na wa raibu so huwa sipendi hata kuisikia tu...Mimi: Ladha inanishinda.
View attachment 3629587
Huyo lazima ashtue kdg ili kujitoa akili humu πKwahiyo hizi Uzi zako za Kunyegesha wana JF huwa unaziandika ukiwa Sober? ππππ.
Ww usiguse Pombe aisee ππππ
Doh hili limenishangaza kwakweli.
Eti ndugu yangu. Mbaga Jr hili una amini?
Ambao hawajachangamka sioNi wanywa pombe tu
Sura yake tu inaonesha! πHuyu nae mdau
Familia huyo π€£Sura yake tu inaonesha! π
Na mna masifa , wakati wine kwangu naitumia kukata hangover πAmbao hawajachangamka sio
Sura si ngeni!Familia huyo π€£