Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Mbowe hawezi kutishwa au kusumbuliwa na kinyago alichokichonga mwenyewe.
22 January tutakuwa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe hawezi kutishwa au kusumbuliwa na kinyago alichokichonga mwenyewe.
Halafu mashabiki wa Lisu wengi si wapiga kura, wakili Jebra kaenda kushiriki mjadala upande wa Lisu kumbe si mwanachadema.22 January tutakuwa hapa
Kwasababu wanajiona kuwa wanaona.Kwa nini vipofu tukiwaonyesha Njia hawaitaki??
Nina milion tano mkuu
Sasa unachokipinga ni kitu gani? kama unaweza utakubaliana huwezi usifikirie nje ya box. Huzitaki laki 500000?Hiyo hela laki tano lofa wewe na maskini mkubwa huna nani abeti na maskini kama wewe
Huwezi lipa
Lisu hashindi
Kamari hiyo tafuta kipato kwa NJIA halali
Hoja za kitoto hizo,,, Mbowe ataachaje NGO ya familia...
Choicevariable, chiembe, Lucas na Malaria toeni laki laki nitawapngezea laki nne nne
😅😅😅Duh!...mmeamua kuuweka uchaguzi wa Chadema kwenye mikeka ?
Kaka Watakuchania mkeka asubuhi saa nneUshapata mtu mi nipo tayari kuweka laki tano mbowe anashinda
Lakini angalaua ktk hatua za mwanzo tunaona anafaaNamuunga mkono na nataraji atashinda ila nawaza expectations tulizonazo kwake huenda akashindwa kuzitimiza na hapo ndipo mtihani utakuwa mkubwa kwake plus lazima apate shida sana kutoka kwa serikali ya ccm.
Hahaha duuhMkuu mtibeli utaliwa hela zako bure.
Kuna kalamu za maajabu (magic pens) zimeandaliwa na zitatumika kupigia kura. Hizi kalamu huwa zinafutika.
I know you know the consequences.
Choicevariable, chiembe, Lucas na Malaria toeni laki laki nitawapngezea laki nne nne