Nipo tayari kuwekeana pesa na mtu anayebisha Lissu hatashinda. Anayebisha tuwekeane Laki tano tano

Nipo tayari kuwekeana pesa na mtu anayebisha Lissu hatashinda. Anayebisha tuwekeane Laki tano tano

naona kila mtu naweka naweka, weka namba ya mshika dau hapa wengine tuanze kabisa, umesema mia tano si ndiyo?
 
22 January tutakuwa hapa
Halafu mashabiki wa Lisu wengi si wapiga kura, wakili Jebra kaenda kushiriki mjadala upande wa Lisu kumbe si mwanachadema.

Wengi hamjui tofauti ya uchaguzi wa TLS na wa chama cha siasa.

TLS ni uchaguzi wa wanataaluma na ambao wengi ni anti gorverment, wakikukubali lazima ushinde.

Sasa mnajitia upofu mnadhani uchaguzi wa chama cha siasa ni sawa na TLS, hakuna kitu kama hicho, uchaguzi wa chama lazima uwe na mtandao chamani ndio maana wasomi hawagombei vyeo kwenye vyama vya siasa.
 
Hiyo hela inayokuwasha ni sawa na mabao 167 pale Kimboka kwa bei elekezi ya Tsh 3000/=. Bora hata uiwekeze huko
 
Hiyo hela laki tano lofa wewe na maskini mkubwa huna nani abeti na maskini kama wewe

Huwezi lipa

Lisu hashindi
Sasa unachokipinga ni kitu gani? kama unaweza utakubaliana huwezi usifikirie nje ya box. Huzitaki laki 500000?
 
Namuunga mkono na nataraji atashinda ila nawaza expectations tulizonazo kwake huenda akashindwa kuzitimiza na hapo ndipo mtihani utakuwa mkubwa kwake plus lazima apate shida sana kutoka kwa serikali ya ccm.
Lakini angalaua ktk hatua za mwanzo tunaona anafaa
 
Mkuu mtibeli utaliwa hela zako bure.

Kuna kalamu za maajabu (magic pens) zimeandaliwa na zitatumika kupigia kura. Hizi kalamu huwa zinafutika.

I know you know the consequences.
Hahaha duuh
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Ndugu Robert Heriel Mtibeli huna haja ya kucheza mchezo huo...

It's obvious, Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti wa CHADEMA kuanzia tarehe 22/1/2025...

Watu hawa (FUSO, Tlaatlaah Mstaafu a.k.a Retired, Malaria 2, Lucas Mwashambwa, Shotocan, G4N etc) kama hawaelewi jambo ambalo tayari liko bayana kabisa ktk ulimwengu wa roho, achana nao maana ni kina Tomaso hao...

Aidha bado wana fursa ya kuhakiki huko "kutoamini" kwao, maana hao wanaishi ktk ulimwengu wa mwili zaidi, wataona kwa macho ya miili yao ambacho hawakukiamini kabla na ndipo watakapojisemea mioyoni mwao hivi "....Loooh, kumbe tulikuwa wajinga kutoyaona haya...!"

Lakini Bwana asema hivi; HERI AAMINIYE KULIKO ASUBIRIYE AONE KWA MACHO YAKE...
 
Back
Top Bottom