Niwape maua yenu Wasabato, mnajua kuimba nyimbo za dini

Nawazungumzia hao waliosifiwa kwenye platform siyo hao wa Manzese
Pia hata hao uliowazungumzia ni waimbaji wa nyimbo za Mungu wa kujitegemea wala si kwaya za Kanisa flani kama kwaya (waimbaji tofauti tofauti wenye muunganiko wa sauti zote 4).

Mfano:

Album ya Christina Shusho "Unikumbuke" wala haina mahali ambapo kuna sauti ya 3 na ya 4 zilizoimbwa na Wanakwaya.


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
1. Ayubu - Imba kwa akili.

2. Ni vyema - Light Bearers.

3. Heka heka za maisha - Iringo SDA Church.

4. Maisha ya dunia - Rock Of Ages Ministry.

5. Niacheni niseme - Kingongo SDA Church.

6. Umoja - Tanika Family.

7. Utukuzwe - Nyegezi SDA Church.

8. Mwingi wa rehema - Light Bearers.

9. Msalaba - Ambassadors Of Christ.

10. Usisononeke - Glorious Singers.

11. Msitu wa ajabu - Mbiu SDA Church.

12. Kisa chake - Burka SDA Church.

13. Ebenezer - Ukonga SDA Church.

14. Naliona mkutano Mkubwa - Chalinze SDA Choir.

15. Nakuomba Roho Mtukufu - Moshi Central Adventist Youth Choir.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Tuachane na hayo masuala mengine tuzungumzie nyimbo zao bora zenye kuburudisha vyema
 
Wacha niburudike na hizi
 
Wewe ni msabato tu. Kuna mwenzio alianzisha thread yake ya kushawishi watu wawe wasabato alipewa nondo hadi alikimbia. [emoji23][emoji23]
 
Kuna wimbo mmoja sikumbuki waimbaji ni kina nani ila chorus yake ni hii"

kandokando,ya bahari marafiki tutakutana,mambo yatakuwa mapya tukiishi pamoja naye"

Mwenye idea nao jamani anitonye umeimbwa na nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…