secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
We njoo piemu bana tufanye kitu fulaniMy secret π lakini mimi siyo mshangazi
Una shingapi mkuu maana kuna VIP na NORMALJamaa anabei kubwa kujiunga na group lake.sio poa.
KAZI ni kipimo cha utu
Sitaki fanya mwenyewe ππWe njoo piemu bana tufanye kitu fulani
Tayari nishafanya malipo mkuu fanya kuniadd kwa group nichote madini
AahaaaaaaKama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...
Hutaki kazi ngumu na kazi huna....
Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..
Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..
Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu ambazo zitafanya wewe kijana upate pesa ukiwa zako umekaa ...
Siku hizi pesa hawatafuti bali wanatega tuu just use brain vizuri kijana....
Kama kuna swali nakaribisha
Wakuu darasa bado linaendelea huku kwa group japo naona kuna ishu naombeni kama unatuma sms ya muhamala basi tuma na namba yako ya wasap ..πππππ
π€£π€£π€£π€£π€£Hata malaya anatoka jasho, hakuna cha bila jasho.
Na miye naomba namba yake nimrushie muhamalaTayari nishafanya malipo mkuu fanya kuniadd kwa group nichote madini
Ushahidi huu
View attachment 3309983
Mnataka mtongozane kwa uzi wanguSitaki fanya mwenyewe ππ
Mkuu ahsante sana..Tayari nishafanya malipo mkuu fanya kuniadd kwa group nichote madini
Ushahidi huu
View attachment 3309983
Wenzako wapo kipindi mda huu changia 5k uje uwone utajiri ulipo mkuuacha utapeli, mbinu ya kupata pesa ni kufanya kazi kwa juhudi, akili, mbinu madhubuti, kujituma, bidii & maarifa. tofauti na hapo ni JANJA JANJA REPUBLIC tu.
Sawa mkuu basi utanitumia private masomo yaliyopitaMkuu ahsante sana..
Nakuunga kaka angu alafu japo kipindi kimeanza ila naimani utawahi
Hiyo apo kwenye huo ushahidi wangu, jina litakuja POOR BRAINNa miye naomba namba yake nimrushie muhamala
π€£π€£π€£πHiyo apo kwenye huo ushahidi wangu, jina litakuja POOR BRAIN
Daah sawa mkuu..Sawa mkuu basi utanitumia private masomo yaliyopita
Mkuu karibuπ€£π€£π€£π
Poor na Vishu mna mpango gani na sisi πDaah sawa mkuu..
Nilichokubali kuona mpaka kaka angu wa karibu umenipa sapport shukran mkuu..
Alafu pia kuna group la VIP hilo itabdi nikuunge tuu mkuu
Mkuu hakuna kitu ila ni vile sioni umuhimu wa kuwaficha vijana wenzangu wanaopambana kila siku kupata chochote kitu bila mafanikioPoor na Vishu mna mpango gani na sisi π