The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sijajua wanadhani kwa lengo la kujitangaza au lengo ni lipi hasa? May be lengo ni hilo na hao hao watu binafsi ndio wanatakiwa kuchangia Mfuko, serikali haiweki pesa zake huko NSSF.Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.
Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?
Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?
THIS IS IRRITATING...
View attachment 2292838
Naona una tatizo, Kuna watu wameacha/achishwa kazi wameambiwa wangoje hadi wafikishe 55 yrs ndo wapewe mafao Yao halafu NSSF anatumbua pesa zao kwenye harusi halafu unashabikia ujinga?Ndoa ni kitu kizuri na katika kila dini hili tendo linakubalika...kama NSSF wamesponsor au wametia nguvu basi mimi kama mmoja wa mwanachama wa NSSF naliafiki 100%
Hongera Billnas
Hongera Nandy
Maneno vitu simple i got love from my people- Chafu pozi
Ebu eleza nssf wanafanya biashara gani hadi ndoa ya hao iwe na faida kwa NSSF.? Hizo hela ni za wafanyakazi, sasa wafanyakazi watanufaika vipi?Tatizo liko wapi NSSF kudhamini ndoa ya watanzania kibiashara?
Nimemuelewa kabisa Kuna huyo Kuna jiwe angavu sijui nawajua nawafanyia makusudiNdugu yangu Watu wa aina hiyo wala sio waku Hangaika nao paka hapo alivyo weka pic design hiyo umesha muelewa ni LUNATIC kwahiyo mtu mwenye matatizo ya afya ya akili huwezi shindana naye ni hayo .
Hivi Ni Nandy yupi alikuwaga na Ruge butahaba? Kuna Dada anaitwa Nandy walimsemaga sana kwamba ameathirika sijui ni yupi niambieni jamani ohh! Hizi Raha wacha tule tuendelee kumeza dawa wa kufuata masharti. Kazi iendeleeHamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.
Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?
Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?
THIS IS IRRITATING...
View attachment 2292838
Hili ni jukwa huru sio kila jambo unalichukulia personal watu wenyewe wanatumia id fakeNan kapanic ukiwa kilaza unaambiwa
Mara 100 wangewsongezea wale wazee wanaotaabika na mafao.Badala ya pesa wanayotumia hapo wangeenda jenga vyooo,madarasa nk
Wao wameipeleka kwenye harusi wtf
Ova
Wateja 2000?? Sasa hivi kifuko ipo miwili tu PSSSF na NSSF .PSSSF kwa waajiriwa wa serikali na NSSF kwa kampuni binafsi.wala haihitaji promo yoyote anayeajiriwa private sector mfuko wake ni NSSFMarketing haichagui unaingia popote watu wanapofuatialia.. nssf wapo sahihi kabisa. Hujui hapo watadaka zaidi ya wateja 2000
Wanatangaza ya nini wakati ni kama monopoly? Private sector yote wanalipa kwao. Hawana competition. Ushawai ona tanesco wanadhamini harusi? I pity my pension money πAcha kukariri , NSSF wana haki ya kutangaza taasisi yao popote, bila kuvunja katiba ya nchi
Kwahiyo monopoly haitangazwi? Tanesco kuto dhamini harusi sio sababu ya wengine kutodhaminiWanatangaza ya nini wakati ni kama monopoly? Private sector yote wanalipa kwao. Hawana competition. Ushawai ona tanesco wanadhamini harusi? I pity my pension money π
Lazima uwakumbushe walaji kuwa kuna jambo hili, pesa ya matangazo ipo kwenye bajeti hawakurupukiEbu eleza nssf wanafanya biashara gani hadi ndoa ya hao iwe na faida kwa NSSF.? Hizo hela ni za wafanyakazi, sasa wafanyakazi watanufaika vipi?
Pension kazi yake ni kuinvest in the present ili kulipa mafao in the future. In that sense nielezee wamewekeza nini na in the future mafao yatalipwaje na haya matangazoKwahiyo monopoly haitangazwi? Tanesco kuto dhamini harusi sio sababu ya wengine kutodhamini
We jamaa una uliza vitu vya kitoto, matangazo ni sehemu ya majukumu ya taasisi au kampuni, return yake ni kuongezeka kwa wanachama hivyo basi kaa tulia tusubiri output hiyoPension kazi yake ni kuinvest in the present ili kulipa mafao in the future. In that sense nielezee wamewekeza nini na in the future mafao yatalipwaje na haya matangazo
ππ kuongezeka kwa wanachama ni kwakupitia ajira mpya. Ili tangazo litachangia ajira mpya?We jamaa una uliza vitu vya kitoto, matangazo ni sehemu ya majukumu ya taasisi au kampuni, return yake ni kuongezeka kwa wanachama hivyo basi kaa tulia tusubiri output hiyo