Maharusi ni ma promota wa uuzaji wa nyumba za nssf huko kigamboni wakisaidiana na steve nyerereHamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.
Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?
Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?
THIS IS IRRITATING...
View attachment 2292838
Nssf wakati wa Dau iliyumba hadi wakaenda crdb kukopa ili walipe mishahara, ni wakati ambao nssf ilipigwa kupita maelezo.Ukweli hilo shirika toka aondoke Dr. Dau halijawahi kuwa na ufanisi.
Sasa tangu huko juu unasema OVA.Nyumba zipi hizo,zile za ubora wa chini wametumia pesa ndg,material hafifu vijumba vidogo,wanataka uza mamilion Mia na kadhaa
Hujiulizi kwanini haziuziki na watu hawana mzuka nazo
Ova
Mkuu NUMBER 10 dawa ya wivu(ambao Mara nyingi hupelekea husuda) ishapatikana kitambo sanaa mkuu wangu ni kujaribu tu kumsifia kumpenda na kuungana nae huyo unaemuonea wivu na ikiwezekana kumuombea dua njema haswa! Kwa hiyo mshauri huyo mkuu namna ya kutibu huo ugonjwa wake
Inaonesha we hujui chochote hebu tulia. We unafikiri hao wanapeleka tu michango bila kuelimishwa.. usichojua ni kuwa hadi TRA huwa wanadhamini matukio mbalimbali ili waweze kupata nafasi ya kutoa elimu kwa mlipa kodiInaelekea hujui hata kazi za NSSF
Kwa taarifa yako huo ni Mfuko wa pension na hupo kisheria ambapo ni lazima Kwa kila mwajiri wa sekta binafsi apeleke michango kila mwezi.
Asipopeleka anashtakiwa
Mfuko huo upo pekeyake na wala hauna mshindani
Hakuna suala la wateja ni lazima kuchangia.
Kama NSSF wametoa fedha kudhamini hiyo sherehe ni ufisadi
Naelewa pointi yako ya awareness. Kwa mantiki io... ni bora kutangaza kwenye harusi au kwenye event zinazohusiana na kazi mfano matamasha ya wajasiriamali, mikutano ya makampuni n.kAwareness pia inaleta wanachama, kuna watu wana ajira lakini hawapo nssf na visingizio lukuki , hapa ndipo umuhimu wa kujitangaza na kuonyesha faida za nssf ulipo
We unafikiri wanapeleka tu bila kuelimishwa, unatambua kuwa kuna sector binafsi hawapeleki michango huko au wanapeleka michango ya baadhi ya watumishi?Wateja 2000?? Sasa hivi kifuko ipo miwili tu PSSSF na NSSF .PSSSF kwa waajiriwa wa serikali na NSSF kwa kampuni binafsi.wala haihitaji promo yoyote anayeajiriwa private sector mfuko wake ni NSSF
Kwani nyumba zinauzikaMaharusi ni ma promota wa uuzaji wa nyumba za nssf huko kigamboni wakisaidiana na steve nyerere
Ujinga kabisaShame Mgmt of NSSF
Shame board of Directors
Shame Ministry responsible for Social walfare
Kulipa watoa jasho fedha zao ni kwa shida tupu, halafu mnafanya huu upuuzi?
Embu acha kutetea upumbavu we we nitajie harusi ambayo ishawahi kudhaminiwa na TRAInaonesha we hujui chochote hebu tulia. We unafikiri hao wanapeleka tu michango bila kuelimishwa.. usichojua ni kuwa hadi TRA huwa wanadhamini matukio mbalimbali ili waweze kupata nafasi ya kutoa elimu kwa mlipa kodi
Akikujibu uni tagEmbu acha kutetea upumbavu we we nitajie harusi ambayo ishawahi kudhaminiwa na TRA
Ndugu yangu AbuuMaryam, hii ni nasaha kwa Mtawala au?Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.
Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?
Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?
THIS IS IRRITATING...
View attachment 2292838
Kutopeleka michango Wala haihitaji kuelemishwa Bali ni kosa kisheria. Kila mwajiri ni lazima apeleke michango ya wafanyakaziWe unafikiri wanapeleka tu bila kuelimishwa, unatambua kuwa kuna sector binafsi hawapeleki michango huko au wanapeleka michango ya baadhi ya watumishi?
Mkuu kumpa fadhila cdf mstaafu sio jambo baya sana..Kama ni kweli, basi tunarudi kusema kwamba Serikali inapambana kukusanya pesa lakini haijui hizo pesa zitumike wapi. Ndio maana watumishi wa taasisi nyingi za serikali wanajilipa pesa nyingi kuliko kazi wanazozifanya. Rais akistaaf anaendelea kulipwa vilevile pamoja na kujengewa Jumba la heshima. Na bado ataendelea kupata stahiki zake zote hata kama alijirisha na nafasi aliyo kua nayo.
Jana tumeona ule mV8 kama zawadi kwa kamanda. Lakini si yeye mwenye wajibu wa kulijaza mafuta.
Malipo kwa wafanyakazi ni makubwa ndio maana serikali inashindwa kumuinua kundi la walala hoi ambao ni wengi.
Hakuna jipya. Tusubiri Mungu mwenyewe atakavyo amua hatima ya nchi yetu na africa kwa ujumla, lakini kwa sasa wananchi wanahangaika kulisha matumbo ya watu waliopo madarakani
Biashara gani? Kwani mfuko wa pensheni kwa wafanyakazi ni hiari?Tatizo liko wapi NSSF kudhamini ndoa ya watanzania kibiashara?
Kwamba kabla ya hii ndoa hapakuwa na hitaji la kubrand NSSF, ila baada ya hawa kutangaza kuoana ghalfla bin vuu, NSSF wakapata uhitaji wa kujibrand, how ridiculous an arguement that would be!@FRANCIS DA DON umesikia hii
Ova
Nalalamika tu na kumlilia kiongozi alione hili...Ndugu yangu AbuuMaryam, hii ni nasaha kwa Mtawala au?