NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

Kiongozi Dharafu Nimekuelewa, Ahsante kwa darsa lako
 
Kwamba kabla ya hii ndoa hapakuwa na hitaji la kubrand NSSF, ila baada ya hawa kutangaza kuoana ghalfla bin vuu, NSSF wakapata uhitaji wa kujibrand, how ridiculous an arguement that would be!
Yaani ujinga ujinga tu injinia

Kwanza ni aibu....

Eti kudhamini harudi kisa fulani ni brand
Hebu ona wenzao mambo wanayofanya

Ova
 

Attachments

  • Screenshot_20220717-102509_Chrome.jpg
    46.3 KB · Views: 3
More than ilitating hawa jamaa kulipa pesa za watu ni tatizo lkn wanaenda kudhamini harusi,aisee wanatakiwa kuchapwa viboko
 
Wabongo bei ya mafuta inapanda kila kukicha Waziri wa Puerto Rico kajipa madaraka ya kutoa misamaha kwa walipa kodi mahiri ninyi mpo busy kujadili tendo harali kabisa kwa Wananchi...
 
Hiyo ni strategy ya biashara,hao ni "celebrities"wanakuwa celebrated na jamii,kwcheki views kwenye akaunti zao uone,hao sio kama wewe wa buza kwa mparange!!
 
[emoji23][emoji23] Kama akili yako inafananisha CRDB na NSSF basi utakuwa na shida mahali duh
 
We jamaa una uliza vitu vya kitoto, matangazo ni sehemu ya majukumu ya taasisi au kampuni, return yake ni kuongezeka kwa wanachama hivyo basi kaa tulia tusubiri output hiyo
Mwanachama anaongezekaje kama ajira hamna,na hio ipo automatic ukiajiriwa unakua mwanachama
 
Kwani huyo billnas ni nan?,si ndio yule video yake ilivuja anampiga mafinger ya tigo huyo Nandy,acheni mambo yenu kama wana wanakushawishi ni ww
 
Ndo maana zinapigwa promo ili ziuzike, zilijengwa na mjinga mmoja enzi za jk
Ina maana bado hawajapata majibu tu kwanini aziuziki,watu hawana munkari
Nazo

Ova
 
Mwanachama anaongezekaje kama ajira hamna,na hio ipo automatic ukiajiriwa unakua mwanachama
Wapo watu wameajiriwa ila hakuna wanachochangia, inaweza kuwa uhuni wa kampuni hizo au watu hawaoni umuhimu wa nssf, hapa lazima mema ya taasisi yatangazwe hata msibani
 
Hiyo ni strategy ya biashara,hao ni "celebrities"wanakuwa celebrated na jamii,kwcheki views kwenye akaunti zao uone,hao sio kama wewe wa buza kwa mparange!!
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kwani huyo billnas ni nan?,si ndio yule video yake ilivuja anampiga mafinger ya tigo huyo Nandy,acheni mambo yenu kama wana wanakushawishi ni ww
NSSF wao wameona fulsa na wanaitumia, biashara haichagui wa kufanya nae as long as faida inapatikana
 
Yaani pesa za umma hazituhusu, au ni shirika binafsi lile?
Magufuli alishawaambia Watanzania ipo siku mtanikumbuka.

Hio kauli mtu akiisema alafu baada ya muda akaondoka huwa ni kama mmelaaniwa hivi 😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…