NSSF kudhamini ndoa ya Billnas na Nandy: Kweli Rais Samia hili ndilo unalotaka kwa ajili ya watu wako? Siamini

NSSF wataingizaje pesa nyingi kwa sababu ya nand na nass wakati wafanyakazi wote nchi wanakatwa pesa za pensheni kisheria na mifuko yote ni ya serikali??

Hawa NSSF wanashindana na nani kupata makato ya wafanyakazi??
Hii nand na nass wameamua kufanya biashara na wataingiza pesa nyingi kutokana na hili hawa ni celebrity so wana impact kubwa Sana Kwa jamii. Ndugu mwwnachama tafadhal Kuwa mpole
 
Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.

Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?

Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?

THIS IS IRRITATING...

View attachment 2292838
Wanakula pesa zetu maana hazina mwenyewe.
 
Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.

Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?

Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?

THIS IS IRRITATING...

View attachment 2292838
Mkuu hao NSSF wanamradi wao wa nyumba kule kigamboni so hao ni kama mabarozi wa zile nyumba sasa zile nyumba lazima zifanyiwe promotion ili zipate wateja sasa hao ni influencers wana haki ya kupata deal kama hiyo, na NSSF itawalipa kwa kumiminika wateja wa nyumba zao, mimi sioni shida hapo ,hiyo ni moja ya market strategy tuuuu
 
NSSF wataingizaje pesa nyingi kwa sababu ya nand na nass wakati wafanyakazi wote nchi wanakatwa pesa za pensheni kisheria na mifuko yote ni ya serikali??

Hawa NSSF wanashindana na nani kupata makato ya wafanyakazi??
Nssf mbali ya kuchukua pension Yako wanafanya biashara Kama nyumba za kukodisha, so yaweza Hyo ndo business strategy kwenye angle hio
 
Mkuu hao NSSF wanamradi wao wa nyumba kule kigamboni so hao ni kama mabarozi wa zile nyumba sasa zile nyumba lazima zifanyiwe promotion ili zipate wateja sasa hao ni influencers wana haki ya kupata deal kama hiyo, na NSSF itawalipa kwa kumiminika wateja wa nyumba zao, mimi sioni shida hapo ,hiyo ni moja ya market strategy tuuuu
Ushaziona hizo nyumba
Umeuona ubora zake
Gharama za malipo ya nyumba zile zinaenda na nyumba hizo

Kwa hiyo nandy billnas wao wakiwambia watu mkanunue nyumba
Wataenda....

Ova
 
Watu wakanunue zile nyumba sabb ya nenga na nandy 😀😀😀
Hivi hawa wasanii wetu zaidi ya fani zao wana ushawishi kwa watu kweli
 
Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.

Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?

Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?

THIS IS IRRITATING...

View attachment 2292838
Wahusika warudishe pesa za wanachama ambao wanapunjwa mafao, haya ndiyo matokeo ya wanachama wa NSSF kulala usingizi wa pono, NSSF imekuwa ikitumia pesa za wanachama lwa mambo yasiyo na faida kwa wanachama, Takukuru hakikisheni pesa zilizochotwa kwa ajili ya harusi zinarudishwa.
 
Unamaanisha NSSF wanajenga nyumba zao wenyewe za kukodisha au wanawekeza kupitia NHC??

Kama wanawekeza kupitia shirika la nyumba la Taifa(NHC) basi wao hapaswi kuhusika katika shughuli za marketing bali NHC ndio wahusika
Nssf mbali ya kuchukua pension Yako wanafanya biashara Kama nyumba za kukodisha, so yaweza Hyo ndo business strategy kwenye angle hio
 
Ushaziona hizo nyumba
Umeuona ubora zake
Gharama za malipo ya nyumba zile zinaenda na nyumba hizo

Kwa hiyo nandy billnas wao wakiwambia watu mkanunue nyumba
Wataenda....

Ova
Kila bidhaa inawalengwa ,
 
1. Kwan hao wanandoa ndio watawafanya watu wanunue hizo nyumba?
2. Media hakuna mpaka wakatangaze nyumba kwenye ndoa ya watu?
Huoni wananchi wanapigwa sana?

Viongozi wa hii serikali mbovu wanatafuta chanzo kidogo ili wapige mamia ya mamilioni
 
Hiyo hiyo NSSF tunayowadai hela yetu huku wakituzungusha Kama hatuna akili nzuri kumbe wananunua hadi shela.

Mungu anawaona.
[emoji23] mommy hujui mwenye nacho huongezewa?
 
Hamuwezi amini jamani Harusi ya NANDY NA BILLNAS, MAIN SPONSOR NI NSSF.

Kweli jamani kweli hivi leo hii tumefikia NSSF kudhamini harusi ya mtu binafsi... Kwa angle ya MARKETING... that wedding what is it going to do with the fund? Yaani fund inapata nini au ina vutia nini katika moja ya packages zake za MFUKO.?

Au hawa VIJANA wazazi ni vigogo kwenye mfuko?

THIS IS IRRITATING...

View attachment 2292838

Umejijibu mwenyewe Nandy na Billnas sio majina yako ya ukweli ni brand names za usanii hivyo hata wewe umeshajibu hapo sio raia wa kawaida bali ni brand. Pili Mashirika ya umma yana utaratibu wao na bodi yao na wakurugenzi. Kama matumizi ni mabaya kuna ripoti ya CAG ambayo inakagua mahesabu yote. Mfano kama wametoa pesa 20M kusaidia kutangaza jengo au ukumbi na ikasaidia kuongeza soko kuna ubaya gani.

Usanii ni brand sio mtu ni kama kampuni hivyo sioni tatizo lolote. Wakati wa Magufuli mvuta bangi wa konde gang alitangaza CRDB
 
Back
Top Bottom