Kama kikwete aliwabatiza kwa maji mimi ntawabatiza kwa moto (mafisadi)
 
Naona hakuna zuri linalosemwa kuhusu huyu rais. Naomba tu 2020 tukayaseme haya haya kwenye sanduku la kupigia kura ikiwa chama kitamsimamisha tena.

[HASHTAG]#SirudiiKosa2020[/HASHTAG]
 
Rasilimali za nchi lazima zitumike kwa manufaa ya watu wote
 
"Walibya walimuua Saddam... Hapana ni Gaddafi, Saddam alikuwa wa Kuwait"
Inaonesha hafuatilii kbsa habari za nje MUNGU WA LIZABONI. AKiamka asubuhi anakunywa chai safi ya maziwa na mazagazaga kibao. Wengine watajiju kuzaliwa tz. Anatafuta wa kutumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…