Tukumbusheni na ile ya kumpongeza Trump

Hohoo mzee huo uchokonozi nina hofu utakutwaa kwenye uchochezi.Hotuba ya kiingereza iliyojaa makosa pomoni ya kisarufi?wazee wa suti nyeusi watakubinya kokwa.
 
Halafu akiongea kiingereza kidogo lazima atoe definition ya Catalyst
 
"Naona mvua zinataka kunyesha hivyo nitahutubia haraka ili mkalime" JPM -Kagera
 
Iam sorry
 
Kuna mtu nimeambiwa hapa Zanzibar anazuia watu kutumia kisima,huyo dawa yake mnamtumbukiza kisimani akitoka atakuwa ametosheka maji.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji779] [emoji124]
 
Gereza sio sheraton hotel,wafungwa waenyeshwewafanyekazi,wapate chakula kwa jasholao.
 
Ahahahaaaaaa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..Imebidi niigize hiyo kauli huku nmepindisha kichwa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hahaaa!tararibu bwana mymy bwana yule akighadhibika patachimbika.Si unajua hasira za mnyama faru?faru yohana
 
"Women with beauty but no brains, it's her private parts that get hurt the most"-R.Mugabe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…