nitakuja mkuu!Shukrani mzee.Nimekusaka sana sijakuona.Kuna riwaya ya Shani kule MMU isake upate maneno ya kisanaa(mpatie waifu ila usiirudufu).Pia ipo nyingine "Ukosefu wa ajira na yaliyonipata IPO hapa jamvini pia habari+hoja mseto.
tena sana,bila unafiki!' ...Huwa nafurahi zaid nikitumbua Mtu kuliko kuteua'.
Siku ya Uzinduzi wa Kiwanda cha Bakhresaa akichimba Biti kwa Meneja wa Tanesco apeleke Umeme kwa haraka Kiwandani
'Watu wanashangaa tunavunja Mikataba ya Wawekezaji nini Mikataba zinavunjika ndoa'
' Gari litakalopita kwny Mabarabara ya Mwendokasi Askari akilikamata akongorowe tairi akauze akikuuliza Mwambie ulileta bila ya tairi'
Huyu Raia ni kweli anahutubia toka Moyoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pombe ni htariKuna mtu nimeambiwa hapa Zanzibar anazuia watu kutumia kisima,huyo dawa yake mnamtumbukiza kisimani akitoka atakuwa ametosheka maji.
ahahaha,mkuu una clip yake?wewe Mzee umekunywa rubisi nini? bâti moja litaweza kueezekea nyumba? nitakusaidia 30 over
Seriously ............................!!?Hivi kwenye huu msemo research ina maana ipi?
It was meant to be a joke but it lacked the correct tone. One of weaknesses of the man, he is not eloquent.SERIKALI HAITAWEZA KUWASAIDIA WAHANGA WA BUKOBA .UKIMWI KWENU MATETEMEKO KWENU HADI KUNA SEHEMU INATWA .....KWENU.
SWISSME
tisha sana,hapo ukawa,damu inawachemka kwa khofu!tisha sana Magu!Sijaribiwi,,na sitajaribiwa..... Kauli imewakondesha ukawa mpka leo
Jamaaa pumba sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Aliisema na hii kumbe
Seriously ............................!!?
mwandishi:nje na siasa kitu gani kingine unapendelea?
Rais:Unataka nikwambie nakupenda wewe?
Niwewe,au kuna mtu ka hack i.d yako!?Naona hakuna zuri linalosemwa kuhusu huyu rais. Naomba tu 2020 tukayaseme haya haya kwenye sanduku la kupigia kura ikiwa chama kitamsimamisha tena.
[HASHTAG]#SirudiiKosa2020[/HASHTAG]
weka!Hata nukuu alizoongea kiingereza tunaruhusiwa kuweka?
bunge,mahakama tupa kule..."Katika mihimili ya dola kuna mhimili uliojichimbia chini zaidi"
Niwewe,au kuna mtu ka hack i.d yako!?Naona hakuna zuri linalosemwa kuhusu huyu rais. Naomba tu 2020 tukayaseme haya haya kwenye sanduku la kupigia kura ikiwa chama kitamsimamisha tena.
[HASHTAG]#SirudiiKosa2020[/HASHTAG]
weka!Hata nukuu alizoongea kiingereza tunaruhusiwa kuweka?
"Katika mihimili ya dola kuna mhimili uliojichimbia chini zaidi"
ngono + Katerero ni vijiji imara sana katika kilimo cha ndizi
Hii sijawah isikiaWananchi:Mzee nasi huku kijijini twatamani lami kama chato mjini.Tunaomba utuletee.
Yohana:subirini hadi tutakapo kaa na kulijadili na serikali ili itutengee bajeti..
wananchi(wakionekana kutoridhishwa na jibu la Yohana ) nasisi tunataka lami.Manvua(badala ya mvua) yakishuka tunatesekaga(kwa lafudhi ya kisukuma)
Yohana(sasa dhahiri amekasirika.Pumzi zinashindana)Kama mnaitaka sana lami kunyeni mavi mkapake barabarani.
wanachi wananyongea kwani waligwaya nabadiliko ya mwonekano wa USO...uliogofya.
wanawake wakamwomba maji ,akawajibu(akiwa kafura kwa hasira) kojoeni mikojo jazeni mapipa....
How about the par capita consumption of products and services - goods? Nafikiri kwa utashi bora kinyume chake maisha yatakwenda kuliko upate kodi moja isiyotosha chochote na mahitaji hayapatikani. Nafikiri wataalamu wa uchumi watashauri na kufafanua maana kamili ya kodi. Kama kila mtu atajitosheleza na kila jamii itajitosheleza, na kila nchi itajitosheleza kodi haina nafasi wala mantiki. Hizi ni fikra zangu anyhow!"Bora iingie meli moja inayolipa kodi kuliko kuwa na meli mia zisizo lipa kodi"