Nyie humu ndani kuna watu, halafu kuna watu wakorofi

Ukiwa mpole sana unadharaulika
I like it this way, ...

I was somewhere , Sasa basi Mwaka mzima nobody knows me .. yule jamaa itakuwa .. Jogoo hapai.. yule jamaa pasta , yule jamaa mtumishi ... As I am soft spoken tuu ... MARA WANIITE TICHA .. MARA POTI ..

kumbe hawajui walisemalo...

Kama chui
Sipendi show offs...
 
Jina lako nimelipenda kwani linaonyesha jinsi umbile lako lilivyojazia, wewe ni yale orijino siyo ya Mlogazila.
 
Aisee!! Ingekuwa pw kama ungetubless na ka uzi mrua " i was somewhere,sasa basi mwaka mzima...." malizia kabisa👿
 
Hahaha!
Science forever
 
Hapo kwenye Simba na yanga jamaa uki m cross.
Uta rusha ngumi kwenye comment 🤣😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…