Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,441
- 8,408
Daa. Tayari washaanza kufanya yao. Pole sana Ma MshuzaKuna watu hapa jukwaani ongea vyote, ila usiguse mashangazi. La sivyo utakubali ligi yake.
Kuna wapenda mashangazi type ya mleta uzi.View attachment 3293374
Roger Muncaster, Nelkon parker, jamani eeh, mateso tumeyapitia.Kwa sisi wengine bado ujakutana na mgote phy... Projectile ni kama upo NASA
Utakuwa unatania wewe! π€πRoger Muncaster, Nelkon parker, jamani eeh, mateso tumeyapitia.
Kuna Ramsden chemistry, Mmh! njaa lazima ikujie tu
Ongezea Tranta mixer University physics, dakika za jiooni CHAND zikatoka kila idara! Ukimbwela unadata huku unaonaRoger Muncaster, Nelkon parker, jamani eeh, mateso tumeyapitia.
Kuna Ramsden chemistry, Mmh! njaa lazima ikujie tu
KumekuchaMwanamke Babaako...!!
Ahahaha unaambiwa roger jamaa hana solution an ni majibu tu na unaambiwa majibu yake yapo sahihi mybe ukosee wewe.. kuna vtu uwezi kukuta kwa hao wengine zaidi zaidi unakuta kwa roger tuu.. ( concept ya binary star)..Roger Muncaster, Nelkon parker, jamani eeh, mateso tumeyapitia.
Kuna Ramsden chemistry, Mmh! njaa lazima ikujie tu
Nishaukumbuka niliwahi kuusoma kdg πNenda kule jamii intelligent utauona wanaita prove dunia ni tambalale sijui
Namuogopa mtu anaye solve universal ahahahaha unakuta mzigo unit zake zipo kwenye km/hr kwanza uanze ku deal na unit maninaaaaa...Ongezea Tranta mixer University physics, dakika za jiooni CHAND zikatoka kila idara! Ukimbwela unadata huku unaona
ππππππ Ahahaha kuna pipo zimedata kule yaani watu mpaka wakaniunga google live sijui ile yaan manakua mna discuss et kwa sauti...Nishaukumbuka niliwahi kuusoma kdg π
Bbhhaaaasss. Mie nishawa ignore watu kibaoo. Ya nini makero π π πMimi nikiona mtu anazingua namuweka ignore list
Kama nilivyo ignore ID Ya Lucas mwashamba maana ninaona nitamtukana bureeeBbhhaaaasss. Mie nishawa ignore watu kibaoo. Ya nini makero π π π
Ni hatari mkuu, ile level kufaulu ni Mungu tu, asingetaka ningekwama yaani.Ongezea Tranta mixer University physics, dakika za jiooni CHAND zikatoka kila idara! Ukimbwela unadata huku unaona
Unaweza kujikuta unapiga PC ngumi kwa hasira πKama nilivyo ignore ID Ya Lucas mwashamba maana ninaona nitamtukana bureee
Ndiyo me Biology ilikuwa ni BS tu naitumia, understanding biology ni partial concepted sana. Na niliacha tumia siku nimesoma zile "did you Know?"Ahahaha unaambiwa roger jamaa hana solution an ni majibu tu na unaambiwa majibu yake yapo sahihi mybe ukosee wewe.. kuna vtu uwezi kukuta kwa hao wengine zaidi zaidi unakuta kwa roger tuu.. ( concept ya binary star)..
Huku Ramsden jamaa ndo kirabu chake unakuta kidogo lakini unaambiwa kakata physical chem yote... Alafu yupo shortly tuu
Chemia tulikomaa sana na kina unga na ngaiza
Kuna wanangu wa bios unaambiwa huku huwezi toboa na other material rather than BS na Advanced biology...
Oaaa ukitoka hapo unachoka leo hii nakula boom la mama samia alafu kuna mtu anasema pesa zipunguzwe manina ππππ
Halafu sie wa pembeni yako tukakushangaa kwa kuvunja PC, kumbe umedhibiti hasira hapo, ni ilikuwa uvunje ukuta kabisa.Unaweza kujikuta unapiga PC ngumi kwa hasira π
SEMA tu NENO naomba kujua maana Mimi pia ni mpole.
π
Mna majanga sana aiseeSEMA tu NENO naomba kujua maana Mimi pia ni mpole.
π