Lisu anagoma kula kwasababu, mabaradhuli wanakiuka maagizo ya mahakama na kudharau haki kwasababu wana nguvu ya dola, sauti ya mtu mpumbavu imeinuka juu kutetea uovu na uonevu, hakika sauti hii inasikika, siku mchungaji atapigwa na kondoo wote watatawanyika.Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Ok gentlemaan,Usilinganishe uwezo wa kifikra wa wanaoingoza Kanisa Katoliki na wanaongoza Madrasa ni mbingu na ardhi. Utang'amua vzr mwenyewe!!
Kwani yule aliyesema wahuni wapo sisiemu, alitoka chama gani?Kanisa katoliki halina tatizo ila wahuni wachache ndani ya kinachoitwa TEC. Tukiliingiza kanisa zima kwenye hii ishu ina maana hadi kina mama wa jumuiya ya mtakatifu Mikaeli huko Masqaroda, Mbulu wanahusika. Inakuwa sio sawa. Hapa wanaoleta shida ni genge la wahuni wachache ndani ya TEC wakiongozwa na Kitima.
Hivi kitima amewahi kujitangaza wazi kuwa ni mwanachadema..?Ok gentlemaan,
basi tuseme kitima anatumia chama cha lisu kuchochea chuki, uhasama na ghasia Tanzania, kwa niaba ya tec kwasababu wote ni wanyaturu wa singida na wanataka kuibadili chadema iwe chama cha wakatoliki na viongozi wake wote wa kitaifa watokee Singida
ok gentleman,Lisu anagoma kula kwasababu, mabaradhuli wanakiuka maagizo ya mahakama na kudharau haki kwasababu wana nguvu ya dola, sauti ya mtu mpumbavu imeinuka juu kutetea uovu na uonevu, hakika sauti hii inasikika, siku mchungaji atapigwa na kondoo wote watatawanyika.
Only time will tell🙏
uko sahihi 100% ndugu mdau wa JF,Kanisa katoliki halina tatizo ila wahuni wachache ndani ya kinachoitwa TEC. Tukiliingiza kanisa zima kwenye hii ishu ina maana hadi kina mama wa jumuiya ya mtakatifu Mikaeli huko Masqaroda, Mbulu wanahusika. Inakuwa sio sawa. Hapa wanaoleta shida ni genge la wahuni wachache ndani ya TEC wakiongozwa na Kitima.
Imetosha sasa kwa Serikali kuendelea kulidekeza hili Kanisa Katoliki Tanzania. Kwa sasa hivi kuna watu waovu kama Padre Dk. Kitima ni wa kushughulikiwa mapema kabla hawajaleta maafa nchi hii. Sisi tuna familia na zipo hapa hapa. Kitima hana familia. Mambo yakiwa mabaya, anakimbilia Vatican kwa wasio na familia wenzake. Tuwe makini!Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Misa ya kuombea marehemu ni utaratibu wa Katoliki, unalijua hilo..?uko sahihi 100% ndugu mdau wa JF,
inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise,
yaani maelfu ya wafu wa ajali ya mv bukoba, mamia ya wafu wa ajali ya mv liemba, mamia ya wafu wa ajali ya treni dodoma hawa wahuni wa tec hawajui au hawa wafu hawana umuhimu wa kufanyiwa ibada ya misa takatifu?
hawa wahuni wa madhabahuni wanakwenda kulichafua kanisa kwa hakika. Halafu, kwanini wanaitumia chadema kufanikisha uhuni wao?
Kwani hasa wewe inakuuma Nini Lissu akiwa huru!?Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Yoyote yulemarehemu wapi hao kwa mfano gentleman?
Gentleman,Kwani hasa wewe inakuuma Nini Lissu akiwa huru!?
Hivi nyie wenzetu wenye Nasaba na DINI ya Waarabu mbonan mnakuwaga Makatili namna hii?
Mtoa mada unatakiwa upewe tiba ya kisaikolojia unaugonjwa unaitwa EXTREMISIMKupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
In fact,Imetosha sasa kwa Serikali kuendelea kulidekeza hili Kanisa Katoliki Tanzania. Kwa sasa hivi kuna watu waovu kama Padre Dk. Kitima ni wa kushughulikiwa mapema kabla hawajaleta maafa nchi hii. Sisi tuna familia na zipo hapa hapa. Kitima hana familia. Mambo yakiwa mabaya, anakimbilia Vatican kwa wasio na familia wenzake. Tuwe makini!
jamani kumbukeni suala la UCHAGUZI ni HATARI kulifumbia macho,pamoja na mengineyo ni chimbuko la matatizo yote haya 2019,2020,2025. Maadui wanaweza kutumia udhaifu huu.Yes,
that's true gentleman,
walianza Rwanda, wakaenda DRC na sasa wameingia Tanzania. Ni makatili sana hawa majamaa vinara wa ulawiti duniani
ugonjwa wako wa extremism uko hatua mbaya hadi hauoni utuMuache Asuse hadi afe na Maisha yataendelea tu kama kawaida
Gentleman,When a fool gains power, he first silences the voices of the wise.
Then he surrounds himself with other fools. And finally, he destroys the country.
- PLATO